Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Kitabu cha

    Kitabu cha "Ghadhabu" kufichua barua 25 za binafsi alizoandikiana Trump na Kim

    Aug 13, 2020 09:26

    Mwandishi mashuhuri wa habari wa Kimarekani Bob Woodward atazitoa hadharani barua 25 za binafsi ambazo rais wa nchi hiyo Donald Trump ameandikiana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

  • Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Aug 08, 2020 22:48

    Kushindwa serikali ya Rais Donald Trump kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID-19 nchini Marekani kumemfanya rais huyo ajaribu kuwepa lawama za kufeli huko kwa kulituhumu Shirika la Afya Duniani WHO kuwa lilifeli katika utekelezaji wa majukumu yake.

  • Donald Trump: Nikishinda urais katika duru ya pili, nitafikia makubaliano na Iran kwa haraka sana

    Donald Trump: Nikishinda urais katika duru ya pili, nitafikia makubaliano na Iran kwa haraka sana

    Aug 08, 2020 03:44

    Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa, endapo ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais Novemba mwaka huu, atahakikisha anafikia haraka makubaliano na Iran.

  • Kufeli siasa za Marekani mkabala na Iran; kuendelea kugonga mwamba ndoto za Trump

    Kufeli siasa za Marekani mkabala na Iran; kuendelea kugonga mwamba ndoto za Trump

    Aug 08, 2020 03:15

    Hakuna siku inayopita bila viongozi wa Marekani kutoa misimamo mikali dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, suala ambalo mara nyingi hudhihirisha mgongano wa misimamo yao na kupelekea baadhi ya vyombo vya nchi hiyo ya Magharibi kukiri kuwa hiyo ni ishara ya kushindwa siasa za Washington mkabala na Iran.

  • Facebook yafuta video ya kupotosha ya Donald Trump kuhusu virusi vya corona

    Facebook yafuta video ya kupotosha ya Donald Trump kuhusu virusi vya corona

    Aug 06, 2020 06:46

    Mtandao wa kijamii wa Facebook umefuta video iliyorushwa hewani na Rais Donald Trump wa Marekani akidai kuwa watoto hawapatwi na virusi vya corona!

  • Muhammad Ali al-Houthi: Ugaidi ni wenzo unaotumiwa na Trump kuwakandamiza wapinzani

    Muhammad Ali al-Houthi: Ugaidi ni wenzo unaotumiwa na Trump kuwakandamiza wapinzani

    Aug 01, 2020 21:01

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumia ugaidi kama wenzo wa kukabiliana na wapinzani wa siasa za Washington pamoja na ugaidi wa kiserikali wa nchi hiyo.

  • Kamati ya Seneti yakatisha mchakato wa kumpitisha mteuliwa wa Trump aliyeutusi Uislamu

    Kamati ya Seneti yakatisha mchakato wa kumpitisha mteuliwa wa Trump aliyeutusi Uislamu

    Jul 31, 2020 11:04

    Kamati ya Seneti ya Marekani imekatisha ghafla kikao cha kuidhinisha jina la Brigedia Jenerali mstaafu wa jeshi la nchi hiyo aliyeteuliwa na rais Donald TRump kuwa Naibu Waziri wa Ulinzi anayehusika na sera kutokana na kauli chafu alizowahi kutoa dhidi ya Uislamu na rais wa zamani wa nchi hiyo Barack Obama.

  • Trump apendekeza uchaguzi wa rais wa Marekani usogezwe mbele, Wademocrat wampinga vikali

    Trump apendekeza uchaguzi wa rais wa Marekani usogezwe mbele, Wademocrat wampinga vikali

    Jul 30, 2020 21:56

    Rais wa Marekani, ambaye amekosoa mara kadhaa upigaji kura kwa njia ya posta, amependekeza tarehe ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika Novemba 3 mwaka huu isogezwe mbele hadi hali itakaporuhusu upigaji kura kufanyika kwa utaratibu wa kawaida.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Jul 25, 2020 22:10

    Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.

  • Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani

    Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani

    Jul 23, 2020 22:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) imegeuka kuwa utawala asi na wa kijambazi duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS