Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Jun 07, 2020 11:55

    Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.

  • "Trump anaongoza magaidi waliovaa tai huko White House"

    Jun 06, 2020 11:40

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, wananchi waliostaarabika wa Iran wanamtambua vyema mkuu wa magaidi waliovaa tai katika Ikulu ya Marekani, White House.

  • Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Jun 06, 2020 11:29

    Wimbi la maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji watu wasio wazungu linaendelea nchini Marekani huku kiwango cha umaarufu wa rais wa nchi hiyo, Donald Trump kikiporomoka vibaya na kufikia asilimia 44.

  • Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Jun 06, 2020 08:11

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.

  • Javad Zarif ajibu ujumbe wa Trump aliyeitaka Iran kuketi kwenye meza ya mazungumzo Marekani

    Javad Zarif ajibu ujumbe wa Trump aliyeitaka Iran kuketi kwenye meza ya mazungumzo Marekani

    Jun 06, 2020 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani kwa Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo mapya akisema kuwa, Iran au pande nyingine za mapatano ya nyuklia ya JCPOA, hazijawahi kuondokwa kwenye meza ya mazungumzo.

  • Malalamiko ya UN dhidi ya ubaguzi wa rangi wa kitaasisi nchini Marekani

    Malalamiko ya UN dhidi ya ubaguzi wa rangi wa kitaasisi nchini Marekani

    Jun 05, 2020 05:57

    Ubaguzi wa rangi na kizazi na ukandamizaji uliochupa mipaka dhidi ya watu wasio wazungu hasa wenye asili ya Afrika huko Marekani una historia ndefu na ulianza tangu ilipoasisiwa nchi hiyo karne tatu zilizopita. Ubaguzi huo daima umekuwa ni sifa inayochukiza ya jamii ya Marekani. Licha ya Wamarekani wenye asili ya Afrika kuendesha mapambano makali ya kupigania haki zao, lakini hadi leo hii wanaendelea kuwa wahanga wa ubaguzi, ukatili na ukandamizaji usio na kifani.

  • Obama ataka mageuzi Marekani, Pelosi ajiunga na waandamanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Obama ataka mageuzi Marekani, Pelosi ajiunga na waandamanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Jun 04, 2020 12:46

    Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama ametoa wito wa kufanyika marekebisho katika mfumo wa jeshi la polisi la nchi hiyo na kusisitiza kuwa, waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi wanapaswa kuwanyima utulivu wanaoshikilia madaraka.

  • Wasiwasi wa Pentagon na hata Republican kwa hatua ya Trump ya kutumia wanajeshi kukandamiza waandamanaji Marekani

    Wasiwasi wa Pentagon na hata Republican kwa hatua ya Trump ya kutumia wanajeshi kukandamiza waandamanaji Marekani

    Jun 04, 2020 12:41

    Maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea mfano wake huko Marekani yamemtia kiwewe na kumuweka kwenye hali ngumu rais wa nchi hiyo mwenye majigambo na majivuno mengi, Donald Trump na kumfanya atoe amri ya kutumiwa jeshi, suala ambalo limelalamikiwa na Wizara ya Ulinzi, lakini hata wanachama wenzake ndani ya chama cha Republican nao hawakubaliani na uamuzi wake wa kutumia nguvu za kijeshi kukandamiza waandamanaji.

  • Hata 'Mbwa Kichaa' akosoa mienendo ya Trump; zaidi ya 10,000 wakamatwa katika maandamano Marekani

    Hata 'Mbwa Kichaa' akosoa mienendo ya Trump; zaidi ya 10,000 wakamatwa katika maandamano Marekani

    Jun 04, 2020 07:55

    Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis maarufu kwa jina la "Mbwa Kichaa" ametangaza kuwaunga mkono wananchi wa Marekani wanaondamana kulaani ubaguzi wa rangi na mienendo ya kikatili ya polisi ya Marekani hususan dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.

  • Tishio la Trump la kutuma jeshi la taifa katika majimbo ya Marekani kukabiliana na wapinzani wa ubaguzi

    Tishio la Trump la kutuma jeshi la taifa katika majimbo ya Marekani kukabiliana na wapinzani wa ubaguzi

    Jun 03, 2020 12:32

    Malalamiko na maandamano makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika miji na majimbo ya Marekani dhidi ya mauaji ya kutisha yaliyofanywa na polisi dhidi ya raia mweusi wa nchi hiyo, George Floyd huko katika jimbo la Minnesota yamezusha machafuko makubwa na kumtia kiwewe rais wa nchi hiyo, Donald Trump na serikali yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS