Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?

    Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?

    May 16, 2020 02:05

    Tangu alipoingia madarkani Donald Trump huko Marekani, rais huyo mwenye majigambo mengi amekuwa akifuata siasa maalumu dhidi ya China na kuishinikiza Beijing katika pande mbalimbali.

  • Trump: Sitaki kuzungumza na Rais Xi, huenda tutakata uhusiano wetu na China

    Trump: Sitaki kuzungumza na Rais Xi, huenda tutakata uhusiano wetu na China

    May 15, 2020 08:00

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema haoni umuhimu wowote wa kufanya mazungumzo na mwenzake wa China, Xi Jinping, kauli ambayo inaweka bayana kuzidi kuharibika uhusiano wa Washington na Beijing wakati huu wa janga la kimataifa la corona.

  • Mousavi: Utendaji mbovu wa Trump umepelekea wauguzi Marekani wapate mashinikizo

    Mousavi: Utendaji mbovu wa Trump umepelekea wauguzi Marekani wapate mashinikizo

    May 12, 2020 21:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utendaji mbovu wa serikali ya Donald Trump ndio chanzo cha mashinikizo makubwa kwa wauguzi nchini Marekani.

  • Biden aendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wanaompinga Trump

    Biden aendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wanaompinga Trump

    May 11, 2020 03:36

    Sambamba na kupamba moto harakati za uchaguzi za Joe Biden ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat, chombo kimoja cha habari nchini humo kimeripoti kuwa, mgombea huyo anaendesha kampeni kwa njia ya siri ya kuunda kundi la Warepublican wa kumuunga mkono.

  • Biden: Trump hajatimiza ahadi ya kuilazimisha Iran isaini makubaliano bora kwa Marekani kuliko JCPOA

    Biden: Trump hajatimiza ahadi ya kuilazimisha Iran isaini makubaliano bora kwa Marekani kuliko JCPOA

    May 09, 2020 03:07

    Joe Biden, anayetarajiwa kuwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat amekosoa sera za rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Iran huku ukiwa umetimia mwaka wa pili tangu Washington ilipojitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Juhudi za Trump za kuipuuza Kongresi kuhusiana na suala la Iran

    Juhudi za Trump za kuipuuza Kongresi kuhusiana na suala la Iran

    May 07, 2020 21:49

    Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, Rais Donald Trump wa Marekani ametumia mamlaka yake ya veto kuukataa muswada uliopitishwa na Kongresi, ambao unataka mamlaka aliyopewa ya kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Iran yapunguzwe.

  • Mwandishi wa habari wa Norway: Trump hana tofauti na dikteta Adolf Hitler

    Mwandishi wa habari wa Norway: Trump hana tofauti na dikteta Adolf Hitler

    May 05, 2020 08:18

    Mwandishi mmoja wa habari wa Norway amesema kuwa mienendo na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani zinafanana kabisa na za dikteta Adolf Hitler wa Ujerumani.

  • Trump: Biden anatakiwa kujibu tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zinazomkabili

    Trump: Biden anatakiwa kujibu tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zinazomkabili

    May 01, 2020 21:05

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye mwenyewe ana kashfa chungu nzima za kijinsia, amemtaka mshindani wake wa uchaguzi kujibu tuhuma za unyanyasi wa kijinsia zinazomkabili.

  • Trump akataa kuongeza muda wa sheria ya utengano wa kijamii nchini Marekani

    Trump akataa kuongeza muda wa sheria ya utengano wa kijamii nchini Marekani

    Apr 30, 2020 07:11

    Katika hali ambayo idadi ya wahanga wa virusi vya Corona nchini Marekani imefikia elfu 61, Rais Donald Trump amekataa kuongeza muda wa sheria ya utengano wa kijamii nchini humo.

  • Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Apr 26, 2020 20:10

    Serikali ya Rais Donald Trump imekuwa ikichukua hatua zisizo za kawaida katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni ambapo kati ya hatua hizo ni kuafiki rasmi suala la kuunganishwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo bandia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS