-
Seneta wa Marekani akiri juu ya uwezo mkubwa wa Iran na udhaifu wa Marekani
Apr 25, 2020 00:57Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akitekeleza hatua za uhasama na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kuidhoofisha na hatimaye kuilazimisha ikubali matakwa yake.
-
Njama za Trump za kuzusha mizozo na kutishia amani na usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 23, 2020 08:26Baada ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia mwezi Mei mwaka 20018, ilianza kutekeleza siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.
-
Trump atoa radiamali kufuatia kurushwa kwa mafanikio satalaiti ya Iran ya Nour-1
Apr 23, 2020 03:34Rais Donald Trump wa Marekani, ametoa radiamali yake kufuatia kurushwa andani kwa mafanikio, satalaiti ya Iran iliyopewa jina la 'Nour-1' ambapo amesema kuwa: "Washington inaifuatilia kwa karibu Iran."
-
Mgogoro wa Venezuela: Serikali na wapinzani waanza mazungumzo ya siri
Apr 22, 2020 22:14Serikali ya Venezuela na wapinzani wa nchi hiyo wameanza duru mpya ya mazungumzo ya siri yenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Trump akiri Marekani inatumia gharama kubwa isiyo na faida yoyote Asia Magharibi
Apr 22, 2020 22:13Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, ilielekeza majeshi yake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Tuhuma nyingine za Trump dhidi ya China; jitihada za kuhalalisha kufeli kwake
Apr 18, 2020 06:27Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa Covid-19 hivi sasa yameilenga zaidi Marekani na watu wa nchi hiyo. Pamoja na hayo yote, utendaji wa serikali ya Trump katika uwanja huo ambao umeambatana na upuuzaji, kuchelewa kuchukua hatua na rais huyo kuendelea kung'ang'ania makosa yake, yote hayo yamewakasirisha sana wananchi wa Marekani.
-
Umoja wa Afrika walaani kitendo cha Marekani cha kuikatia misaada WHO
Apr 15, 2020 20:15Moussa Faki Mahamat, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amelaani kitendo cha Marekani cha kulikatia misaada ya kifedha Shirika la Afya Duniani (WHO) la Umoja wa Mataifa tena wakati huu wa vita vya dunia nzima dhidi ya corona.
-
UN yakerwa na hatua ya Trump kuikatia ufadhili WHO wakati huu wa Corona
Apr 15, 2020 03:44Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia udharura wa kuungwa mkono Shirika la Afya Duniani (WHO), muda mfupi baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuwa nchi hiyo imelikatia misaada yake ya kifedha shirika hilo.
-
Trump akosolewa na magavana wa Marekani kwa kudai kuwa ana mamlaka mutlaki
Apr 14, 2020 07:07Magavana wa majimbo ya Marekani wamemjia juu Rais Donald Trump wa nchi hiyo baada ya kiongozi huyo kudai kuwa ana uwezo na mamlaka kamili ya kutoa miongozo na maagizo ya kuchukuliwa ya kukabiliana na janga la Corona.
-
Joe Biden amtangulia Rais Donald Trump katika uchunguzi wa maoni
Apr 13, 2020 03:27Televisheni ya CNN nchini Marekani imetangaza kwamba, Joe Biden, mwakilishi wa chama cha Democrat katika uchaguzi wa rais nchini humo anamtangulia Rais Donald Trump katika uchunguzi wa maoni ya Wamarekani.