-
Gharama kubwa za safari za familia ya Trump zaathiri wananchi wa Marekani
Apr 12, 2020 03:22Duru za habari zimefichua utumiaji mkubwa wa siri wa vyombo vya usalama vya Marekani kwa lengo kuwasindikiza watu wa familia ya Trump katika safari zao.
-
Katibu Mkuu wa UN asisitiza kuiunga mkono WHO baada ya matamshi ya Trump
Apr 09, 2020 06:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Shirika la Afya Duniani, WHO, ambalo ni taasisi ya umoja huo, linapasa kuungwa mkono duniani kote, akisema kuwa chombo hicho kimekuwa muhimu sana kikichukua msimamo wa kimataifa kukabiliana na mlipuko wa janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa
Apr 05, 2020 07:19Waziri wa zamani wa Marekani, Henry Kissinger, amesema katika makala yake iliyochapishwa kwenye gazeti la The Wall Street Journal kwamba, mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona utabadilisha mfumo wa dunia milele.
-
Trump awataka Wamarekani wajiandae kwa 'vifo vingi' vya corona
Apr 05, 2020 03:33Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kuwa, taifa hilo litashuhudia vifo vingi vya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona ndani ya wiki mbili zijazo, huku nchi hiyo ikiendelea kuongoza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo duniani.
-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 06:56Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.
-
Joe Biden akosoa uamuzi wa Trump wa kumfuta kazi kapteni wa jeshi la Marekani
Apr 04, 2020 00:09Mgombea wa uchaguzi wa rais wa 2020 nchini Marekani ametoa radiamali kufuatia hatua ya kufutwa kazi kapteni wa manowari moja ya nchi hiyo na kusema kuwa: "Trump amechukua uamuzi usio sahihi kuhusu jambo hilo."
-
Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo
Apr 03, 2020 23:43Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.
-
Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran
Apr 03, 2020 02:27Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.
-
Zarif: Iran itawatia adabu wachocheao vita
Apr 02, 2020 04:46Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amemwambia Rais Donald Trump wa Marekani kwamba Iran haitaanzisha vita lakini itawatia adabu wanaochechea vita.
-
Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran
Apr 02, 2020 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'