Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta

    Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta

    Mar 31, 2020 02:29

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kuzikosoa Saudi Arabia na Russia kutokana na kuvuruga soko la mafuta, amesema kuwa Riyadh na Moscow zimepatwa na wendawazimu katika suala hilo.

  • Licha ya kujigamba, Trump aziomba msaada wa vifaa nchi za Asia na Ulaya ili kukabiliana na corona

    Licha ya kujigamba, Trump aziomba msaada wa vifaa nchi za Asia na Ulaya ili kukabiliana na corona

    Mar 26, 2020 03:38

    Gazeti la The Guardian limefichua kuwa, licha ya lugha ya mbwembwe na majigambo anayotumia Rais Donald Trump wa Marekani kwamba nchi yake haitahitaji msaada wa mataifa ya kigeni, serikali ya Washington imeomba msaada kwa waitifaki wake wa Ulaya na Asia kwa ajili ya kukabiliana na janga la corona.

  • Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona

    Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona

    Mar 26, 2020 00:58

    Kuenea virusi vya Corona na ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani si tu kwamba kumekuwa na taathira kubwa za kiuchumi na kijamii, bali pia kumegeuka na kuwa mjadala mkubwa ndani ya Bunge la Kongresi na ikulu ya White House.

  • Viongoza wa New York waonya juu ya maafa yanayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba

    Viongoza wa New York waonya juu ya maafa yanayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba

    Mar 23, 2020 22:06

    Meya wa mji wa New York nchini Marekani ametahadharisha kuhusu ongezeko la hasara inayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba na ametabiri kwamba, katika kipindi cha miezi miwili ijayo mgogoro unaotokana na virusi vya corona utakuwa mkubwa zaidi.

  • Wakati Trump anapojifanya daktari bingwa na kujigamba anatibu corona kwa dawa za Malaria

    Wakati Trump anapojifanya daktari bingwa na kujigamba anatibu corona kwa dawa za Malaria

    Mar 22, 2020 02:57

    Katika hatua ya kushangaza ambayo haijawahi kutokea, rais wa Marekani, Donald Trump amejigamba kuwa yeye ni daktari bingwa anayeweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 kwa dawa za Malaria.

  • Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa

    Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa

    Mar 21, 2020 01:38

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumai kutumia madai yake ya mafanikio ya kiuchumi katika kampeni zake za uchaguzi wa rais nchini humo mwaka huu wa 2020, lakini hakuwa ametabiri kuhusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona ambao umepelekea kuporomoka masoko ya hisa Marekani na hivyo kuingiza uchumi huo mkubwa zaidi duniani katika mdororo.

  • Balozi wa Uswisi anayesimamia maslahi ya Marekani mjini Tehran aonywa kuhusu madai yasiyo na msingi ya Trump

    Balozi wa Uswisi anayesimamia maslahi ya Marekani mjini Tehran aonywa kuhusu madai yasiyo na msingi ya Trump

    Mar 14, 2020 07:37

    Balozi wa Uswisi mjini Tehran ambaye ndiye anayesimamia malahi ya Marekani nchini Iran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje kufuatia madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani aliyeihusisha Iran na shambulizi la maroketi lililolenga kambi ya majeshi eti ya kimataifa ya al Taji nchini Iraq.

  • Bunge la Marekani lapitisha sheria ya kumuwekea Trump vizingiti vya kuanzisha vita dhidi ya Iran

    Bunge la Marekani lapitisha sheria ya kumuwekea Trump vizingiti vya kuanzisha vita dhidi ya Iran

    Mar 12, 2020 07:38

    Hatua za rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa, na pia hatua za jinai zake za kigaidi kama ile amri aliyotoa ya kuuawa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu mnamo Januari 2020 ni hatua ambazo zimeibua wasiwasi mkubwa katika Bunge la Marekani (Congress).

  • Wamarekani hawaridhishwi na utendaji wa serikali ya Trump katika kupambana na virusi vya corona

    Wamarekani hawaridhishwi na utendaji wa serikali ya Trump katika kupambana na virusi vya corona

    Mar 10, 2020 08:35

    Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa wananchi nchini Marekani wameutathmini utendaji wa serikali ya Trump katika kuzuia maambukizo ya virusi vya corona nchini humo kuwa hasi huku karibu nusu ya watu wakisema kuwa hawaafiki utendaji wa serikali ya Trump.

  • Aliyehudhuria hotuba ya Trump aambukizwa Corona

    Aliyehudhuria hotuba ya Trump aambukizwa Corona

    Mar 08, 2020 08:38

    Matokeo ya vipimo vya virusi vya Corona alivyofanyiwa mmoja watu waliohudhuria kikao cha 'Umoja wa Wahafidhina wa Marekani' ambacho Trump na makamu wake walihutubia, yameonyesha kuwa mtu huyo ameathirika na virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS