-
Italia yasema haiwezi kujiunga na 'Bodi ya Amani' ya Trump, sababu ni kukinzana na katiba yake
Feb 08, 2026 02:48Italia imesema haiwezi kujiunga na kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Rais wa Marekani Donald Trump kutokana na "mpaka wa kikatiba" ukiwa ni mkwamo mpya na wa karibuni zaidi kukikabili "chombo hicho cha kimataifa cha kujenga amani", alichojibunia rais wa Marekani.
-
Wimbi jipya la vikwazo dhidi ya Iran; Trump awalenga washirika wa kibiashara wa Iran
Feb 07, 2026 22:53Trump amesaini dikrii kwa ajili ya kuwatoza ushuru washirika wa kibiashara wa Iran.
-
Je, Trump ni rais wa amani kama anavyodai mwenyewe?
Feb 07, 2026 08:11Donald Trump, ambaye anajiona kama rais wa amani, amekariri madai yake dhidi ya uwezo wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akidai kwamba bila hivyo, amani katika Asia Magharibi isingewezekana.
-
Tabibu wa viungo: Huenda Trump akawa amebakiwa na miaka 2 hadi 4 tu ya kuishi
Feb 06, 2026 06:40Mtaalamu wa tiba ya viungo Adam James, amezungumzia baadhi ya harakati na alama za kimwili za Donald Trump na kutahadharisha kwamba, huenda rais huyo wa Marekani asiishi zaidi ya miaka miwili hadi minne tu ijayo.
-
Trump apinga wito wa Putin wa kurefusha muda wa Mkataba wa New START
Feb 06, 2026 02:52Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga pendekezo la Rais wa Russia, Vladimir Putin la kuongezwa kwa khiari muda wa Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia, ambao muda wake ulimalizika jana Alkhamisi.
-
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Feb 04, 2026 07:25Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa madai hayo hayana msingi wowote.
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya "mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja" dhidi ya Iran?
Feb 03, 2026 07:49Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.
-
Wanamichezo wa Iran wamkingia kifua Kiongozi Muadhamu
Feb 01, 2026 06:02Zaidi ya wanachama 5,000 wa jumuiya ya michezo ya Iran wametoa taarifa kulaani vitisho na bwabwaja za Rais wa Marekani Donald Trump, wakitangaza uungaji mkono wao mkubwa kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Jan 30, 2026 08:30Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
-
Serikali ya Trump yalaaniwa kwa ukatili wa kumnyima mzazi Muislamu fursa ya kumzika mwanawe
Jan 30, 2026 04:15Uamuzi wa shirika la Uhamiaji na Forodha la Marekani (ICE) wa kukataa kutoa ruhusa ya muda ya sababu za kibinadamu kwa mzazi aliyeko kizuizini kuhudhuria mazishi ya mwanawe kimelaaniwa vikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii huku baadhi yao wakiuelezea uamuzi huo kuwa ni "mchafu na wa kinyama".