-
Trump atishia kuikatia misaada Iraq endapo Nouri al-Maliki atakuwa Waziri Mkuu
Jan 28, 2026 06:58Rais wa Marekani Donald Trump amedai katika ujumbe unaoakisi uingiliaji wa wazi wa masuala ya ndani ya Iraq kwamba Nouri al-Maliki hapasi kuwa waziri mkuu, kwa sababu kama atachaguliwa kushika wadhifa huo, Marekani haitatoa tena misaada kwa nchi hiyo.
-
Nyayo za Madola ya Kigeni katika Machafuko ya Iran: Simulizi ya Nyaraka ya Uingiliaji Kati wa Marekani na Israel
Jan 26, 2026 00:53Leo tunafuatilia nyayo za kuhusika Marekani na Israel katika ghasia na machafuko ya karibuni nchini Iran..
-
Bodi ya Amani ya Gaza, jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2026 00:38Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya kupenda jaha na kujipanua kisiasa.
-
Starmer amtaka Trump aombe radhi kwa kauli ya 'kutusi' aliyotoa kuhusu uvamizi wa Afghanistan
Jan 24, 2026 00:01Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ametaka Rais wa Marekani Donald Trump aombe radhi kwa madai yake kwamba wanajeshi wa Ulaya hawakuwa mstari wa mbele katika vita vya kivamizi vya mwaka 2001 vilivyoanzishwa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Afghanistan.
-
Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?
Jan 23, 2026 23:17Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.
-
Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amuonya vikali Trump
Jan 22, 2026 03:26Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amemuonya vikali Rais Donald Trump wa Marekani kufuatia matamshi yake ya hivi karibuni ya vitisho dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
"Haiwezi Tena Kuvumilika", asema Waziri Mkuu wa Ubelgiji akiitaka Ulaya iamue moja kuhusu Trump
Jan 21, 2026 07:09Waziri Mkuu wa Ubelgiji Bart De Wever amesema, ni lazima Ulaya imueleze wazi Rais wa Marekani Donald Trump kwamba hali ilipofikia hivi sasa "Haiwezi Tena Kuvumilika".
-
Trump atishia kuiwekea Ufaransa ushuru wa 200% kumshinikiza Macron ajiunge na 'Bodi ya Ghaza'
Jan 20, 2026 23:08Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kukataa kujiunga na kile kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Washington kwa ajili ya Ghaza, huku mpango huo ukikabiliwa na ukosoaji mkubwa wa wataalamu wa sheria za kimataifa wanaouelezea kuwa ni upanuzi wa ukaliaji wa mabavu wa eneo hilo la Palestina unaofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Mchambuzi wa tiba wa CNN: Mpimeni Trump uzima wa akili
Jan 20, 2026 23:04Kufuatia vituko alivyofanya hivi karibuni Donald Trump kwa barua aliyomwandikia Waziri Mkuu wa Norway, Dk. Jonathan Reiner tabibu na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha George Washington ametaka rais huyo wa Marekani apimwe uzima wa akili.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 18, 2026 01:13Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.