-
Hatua ya kijinai ya Trump ni katika juhudi zake za kukwepa kusailiwa
Jan 05, 2020 01:00Gazeti la New York Times la nchini Marekani limechapisha makala inayosema kwamba, amri ya Rais Donald Trump ya kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC, ilitolewa kwa lengo la kukwepa kusailiwa.
-
Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani
Jan 04, 2020 08:13Viongozi wa ngazi ya juu wa Marekani wamedhihirisha misimamo ya kukinzana katika juhudi za kuhalalisha jinai yao ya kumuua kigaidi Kamanda Qassem Soleimani baada ya kudai kuwa eti hawataki vita na Iran.
-
Trump akiri hatua ya kigaidi aliyochukua ya kuamuru kuuliwa shahidi Jenerali Soleimani
Jan 04, 2020 04:16Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuhusu hatua ya kijinai aliyochukua ya kuamuru kutekelezwa operesheni ya mauaji ya kigaidi dhidi ya kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC).
-
Joe Biden amkosoa vikali Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 05:05Joe Biden ambaye ni miongoni ma wanasiasa wa chama cha Democratic wanaochuana kupata tiketi ya kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi ujao wa rais utakaofanyika mwaka huu nchini Marekani amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Jan 03, 2020 02:33Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.
-
Trump apandwa na hasira kutokana na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Dec 31, 2019 23:23Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha radiamali yake kutokana na kufanyika maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa nchi hiyo huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapinga vikali kuendelea urais wa Trump
Dec 31, 2019 09:39Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa, idadi kubwa ya Wamarekani weusi, yaani Wamarekani wenye asilia ya Afrika wanatekeleza mikakati maalumu ya kuhakikisha kuwa Donald Trump hachaguliwi tena kuwa rais wa nchi hiyo.
-
Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani
Dec 30, 2019 23:14Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.
-
Gazeti la Marekani lafichua mazungumzo ya siri aliyofanya wakili wa Trump na Rais wa Venezuela
Dec 30, 2019 09:00Gazeti la Washington Post linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuwa wakili binafsi wa Rais Donald Trump, Rudy Giuliani alifanya mazungumzo ya simu na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Joe Biden: Trump atimuliwe kutoka White House
Dec 29, 2019 23:12Joe Biden, mgombea aliye na nafasi nzuri ya kushinda uchaguzi wa awali ndani ya chama cha Democrat nchini Marekani kuelekea uchaguzi wa rais wa 2020, ametaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo atimuliwe kutoka ikulu ya White House.