-
Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria
Dec 28, 2019 07:13Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje
Dec 27, 2019 04:22Gazeti moja la Marekani limeeleza uwezekano wa kubadilishwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na kuteuliwa mtu mwingine mahala pake.
-
Wajerumani: Trump ni hatari kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa
Dec 26, 2019 22:52Uchunguzi mpya wa maoni umeonyesha kuwa, raia wengi wa Ujerumani wanaamini kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni hatari kubwa zaidi kwa usalama na amani ya dunia.
-
Jarida la Christianity Today la Marekani lamponda tena Trump
Dec 24, 2019 08:16Jarida la Kiinjilisti la Christianity Today la Marekani kwa mara nyingine tena limemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo, likisisitiza kuwa mwanasiasa huyo wa Republican anapaswa kuondolewa ofisini.
-
John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini
Dec 24, 2019 03:32Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akitumia mabavu dhidi ya nchi shindani na zinazopinga siasa za Washington, pia anatekeleza siasa za vitisho na mazungumzo ya siri dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Katibu Mkuu wa NATO akiri kushtadi mzozo ndani ya shirika hilo la kijeshi
Dec 18, 2019 09:22Nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), zimershiriki katika kikao cha maadhimisho ya mwaka wa 70 tangu kuasisiwa taasisi hiyo ya kijeshi katika hali ambayo tofauti na changamoto kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma, zinauweka mustakbali wake katika hali isiyojulikana.
-
Kupitishwa bajeti ya kijeshi ya 2020 katika Seneti ya Marekani; kuzidi kuaminisha utumizi wa nguvu za kijeshi
Dec 18, 2019 04:06Marekani ni nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, yakiwa ni matokeo ya sera yake ya kuaminisha zaidi kutumia mabavu na nguvu za kijeshi katika uga wa kimataifa. Washington huongeza kila mwaka bajeti yake hiyo; na kwa kufanya hivyo kupiga hatua zaidi za kupanua na kuimarisha nguvu zake za kijeshi.
-
Madaktari wa magonjwa ya akili wa Marekani wana shaka kuhusu afya ya kiakili ya Trump
Dec 08, 2019 23:12Barua iliyosainiwa na madaktari 350 wa magonjwa ya akili wa nchini Marekani na kutumwa kwa kongresi ya nchi hiyo imedai kuwa afya ya kiakili ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inazidi kuwa mbaya kwa kasi katika wakati huu ambapo natija ya vikao vya uchunguzi wa kumsaili rais huyo ikitazamiwa kuwasilishwa kwa kongresi siku ya Alhamisi.
-
Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria
Dec 06, 2019 04:34Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.
-
Trump akaribia kusailiwa na kufikishwa mahakamani
Dec 04, 2019 21:50Hatimaye baada ya wiki kadhaa za vikao vya uchunguzi vya wazi na vya faragha, kamati ya intelijensia ya bunge la wawakilishi la Marekani imemtuhumu rasmi Rais Donald Trump kuwa alitumia vibaya madaraka yake kuhusiana na suala la Ukraine na kujaribu kuizuia kongresi kutekeleza majukumu yake.