-
NATO na changamoto zinazoikabili wakati inaadhimisha mwaka wa 70 wa kuasisiwa kwake
Dec 04, 2019 04:42Nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO zinakutana mjini London, Uingereza katika mkutano unaoadhimisha mwaka wa 70 tangu kuasisiwa shirika hilo la kijeshi, huku tofauti kubwa na changamoto za mivutano zilizopo ambazo hazijawahi kushuhudiwa, zikiuweka mashakani mustakabali wake.
-
Trump akosoa matamshi ya Macron kuhusu Nato
Dec 03, 2019 09:00Rais wa Marekani ameyataja matamshi ya Rais mwenzake wa Ufaransa kuhusu Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kuwa yaliyotiwa chumvi.
-
Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza
Dec 01, 2019 03:10Uingiliaji unaoongezeka kila siku wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Uingereza hususan kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa Bunge la Uingereza siyo tu kwamba, umekabiliwa na ukosoaji wa chama cha upinzani cha Leba, bali filihali chama tawala cha Kihafidhina (Conservative) nacho kimeonyesha wasiwasi kilionao kuhusiana na suala hilo.
-
Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya
Nov 30, 2019 01:01Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa za upande mmoja na kuiondoa nchi hiyo katika mitakaba muhimu ya kimataifa, kinyume kabisa na matarajio na mitazamo ya Umoja wa Ulaya na hivyo kupanua pengo la tofauti kati ya pande hizo mbili za Bahari ya Atlantiki.
-
Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan
Nov 30, 2019 01:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.
-
Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan
Nov 29, 2019 07:44Katika safari yake ya ghafla nchini Afghanistan, Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo.
-
Kamanda wa zamani wa kikosi cha wanamaji wa Marekani akosoa vikali sera za Trump
Nov 28, 2019 23:05Kamanda wa jeshi la wanamaji katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni, ameelezea uingiliaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika hukumu za vyombo vya mahkama ya kijeshi kupitia jumbe zake za mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, hatua hiyo haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
Mkewe Trump apokelewa kwa malalamiko na kuzomewa na wanachuo wa Maryland Marekani
Nov 28, 2019 01:16Wanachuo wa Marekani waliokuwa wamekusanyika katika Chuo Kikuu cha Maryland huko Baltimore kusikiliza hotuba ya Bi Melania Trump mke wa Rais Donald Trump wa Marekani wamempokea mke huyo wa rais kwa kumzomea.
-
Assad: Asante ya Trump kwa Syria kuhusu kuuliwa al Baghdadi ni mzaha
Nov 27, 2019 21:51Rais wa Syria amehoji mchezo wa maonyesho unaofanywa na Marekani kuhusu kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh na kueleza kuwa: Madai ya Marekani kwamba Syria ilishiriki katika mauaji hayo ni moja ya mizaha ya Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Kupigwa kalamu nyekundu Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Marekani kwa kupinga amri ya Trump
Nov 26, 2019 03:14Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kukiuka na kufumbia macho taratibu za kisheria ambapo mara kwa mara amekuwa akiingilia moja kwa moja masuala tofauti ya idara za serikali na za jeshi la nchi hiyo.