-
Gaidi aliyeua makumi msikitini New Zealand ni mfuasi wa sera za Trump + Video
Mar 15, 2019 12:25Gaidi mwenye umri wa miaka 28 kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye amehusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand amekuwa akijitangaza kuwa ni mfuasi wa sera za Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Trump alitaka kumtimua mwanawe na mkwewe White House
Mar 13, 2019 23:10Kitabu kilichochapishwa hivi karibuni kabisa kimefichua kwamba mwaka 2017 rais wa Marekani Donald Trump alitaka kuwatimua katika Ikulu ya nchi hiyo White House, mwanawe Ivanka Trump na mumewe Jared Kushner kutokana na makelele waliyoyaanzisha tangu Trump aingie White House.
-
Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela
Mar 09, 2019 00:50Wakati mgogoro wa kisiasa ukiwa unaendelea nchini Venezuela sambamba na kuongezeka harakati za Juan Guaido, kiongozi wa wapinzani aliyejitangaza rais, za kushadidisha mgogoro huo, njama na hatua za serikali ya Marekani za kutaka kubadilisha hali ya mambo katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini, nazo pia zimezidi kupamba moto.
-
Trump atoa radiamali baada ya Korea Kaskazini kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora
Mar 07, 2019 03:33Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, uamuzi wa Korea Kaskazini wa kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora, unazuia njia ya kuboresha uhusiano wa pande mbili.
-
Putin aamuru kusimamishwa kwa muda utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF
Mar 05, 2019 03:33Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa, Moscow itasimamisha utekelezaji wa Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati maarufu kwa kifupi kama INF.
-
Sanders: Trump ni kidhabi na rais hatari zaidi katika historia ya US
Mar 03, 2019 04:15Seneta Bernie Sanders ambaye amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya hivi karibuni ya Marekani na kwamba mwanasiasa huyo wa chama cha Republican amekubuhu katika kusema urongo.
-
Michael Cohen: Trump ni mbaguzi wa rangi, tapeli na mdanganyifu
Feb 28, 2019 04:00Aliyekuwa wakili wa rais wa Marekani Donald Trump amesema, kiongozi huyo ni mbaguzi wa rangi, tapeli na mdanganyifu; na yeye anajuta kufanya kazi naye.
-
Mbunge wa Democrats: Trump ndiye tishio kuu kwa demokrasia ya Marekani
Feb 25, 2019 00:49Mwakilishi wa chama cha upinzani cha Democrats amesema Rais Donald Trump ndiye tishio nambari moja kwa demokrasia ya Marekani.
-
Baba yake Hoda Muthana awasilisha mashtaka rasmi dhidi ya serikali ya Marekani
Feb 23, 2019 00:15Baba wa binti Hoda Muthana ambaye alikuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh huko Syria amewasilisha rasmi malalamiko yake kwa serikali ya Marekani.
-
Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria
Feb 21, 2019 21:42Nchi za Ulaya zimelikataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuzitaka zipeleke vikosi vya majeshi yao nchini Syria na kujaza nafasi itakayoachwa wazi na vikosi vya jeshi la Marekani.