Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump: Mwanamke mwanachama wa DAESH (ISIS) hana ruhusa ya kuingia Marekani

    Trump: Mwanamke mwanachama wa DAESH (ISIS) hana ruhusa ya kuingia Marekani

    Feb 21, 2019 12:01

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema, Hoda Muthana, mwanamke ambaye ni mwanachama wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), hana ruhusa ya kuingia nchini humo. Trump ametoa agizo hilo pasi na kuashiria hatua zilizochukuliwa na serikali ya Washington katika kuanzisha na kuliunga mkono kundi hilo la ukufurishaji.

  • Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Feb 21, 2019 07:46

    Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.

  • Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho

    Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho

    Feb 21, 2019 04:14

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.

  • Majimbo 16 ya Marekani yafungua mashtaka dhidi ya Trump

    Majimbo 16 ya Marekani yafungua mashtaka dhidi ya Trump

    Feb 19, 2019 12:16

    Majimbo 16 ya Marekani yamefungua mashtaka mahakama dhidi ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kufuatia hatua yake ya kutangaza hali ya hatari nchini humo kwa ajili ya kupata fedha za kujenga ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico, suala ambalo limepingwa na Kongresi ya Marekani.

  • Trump awatishia wanajeshi wanaomuunga mkono Maduro

    Trump awatishia wanajeshi wanaomuunga mkono Maduro

    Feb 19, 2019 04:12

    Rais wa Marekani amewatishia maafisa wa jeshi wa Venezuela wanaomuunga mkono Rais wa nchi hiyo.

  • Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA

    Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 16, 2019 10:09

    Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.

  • Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 12, 2019 10:23

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiishambulia Iran kwa maneno makali iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka 2016 au baada ya kuingia katika Ikulu ya White House Januari mwaka 2017 na hivyo kuendeleza mkondo wa kutakka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini.

  • Zarif ajibu bwabwaja za Trump, asema Marekani imefeli mbele ya Iran katika miaka 40 ya Mapinduzi

    Zarif ajibu bwabwaja za Trump, asema Marekani imefeli mbele ya Iran katika miaka 40 ya Mapinduzi

    Feb 12, 2019 04:50

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu ujumbe uliokuwa umejaa hasira na vinyongo wa Rais Donald Trump wa Marekani akisema kuwa: Baada ya miaka 40 ya machaguo yasiyo sahihi, sasa wakati umefika kwa Trump kubadilisha siasa zilizoshindwa na kufeli za Marekani mkabala wa Iran.

  • Seneta wa Marekani asema huenda Trump 'atafungwa jela' kufikia 2020

    Seneta wa Marekani asema huenda Trump 'atafungwa jela' kufikia 2020

    Feb 11, 2019 04:17

    Seneta wa chama cha Democrats nchini Marekani amesema yumkini Rais Donald Trump wa nchi hiyo atakuwa gerezani kabla ya uchaguzi mkuu ujao nchini humo mwaka ujao 2020.

  • Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro

    Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro

    Feb 10, 2019 07:37

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, wapinzani wa serikali wanaoungwa mkono na Marekani wamezidisha njama zao za kubadilisha hali ya nchi hiyo kwa manufaa yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS