-
Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington
Feb 08, 2019 03:26Tarehe 19 Disemba mwaka jana Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kwamba askari wa Marekani wataanza kuondoka Syria.
-
Vyombo vya habari Marekani: Fikra za Trump kuhusu Iran hazina mlingano, zinafurutu mipaka
Feb 06, 2019 23:27Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, matamshi yanayotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo yanaonesha kuwa, kiongozi huyo ana mitazamo na fikra zisizo na mlingano na za kuchupa mipaka kuhusiana na Iran.
-
Uropokaji na upayukaji mwingine mpya wa Trump dhidi ya Iran
Feb 06, 2019 10:37Marekani, katika kipindi cha urais wa Donald Trump, imedhihirisha bila kificho kuwa imepanga na inatekeleza mpango wa kuudhoofisha na kuuangusha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti: Kiwango cha ufisadi kimekithiri Marekani katika utawala wa Trump
Jan 29, 2019 21:41Ripoti ya shirika la kutathmini viwango vya ufisadi duniani la Transparency International imesema kiwango cha ufisadi na visa vya rushwa vimeogezeka pakubwa nchini Marekani tangu Rais Donald Trump aingie madarakani.
-
Trump: Kufungwa tena serikali, ni moja ya machaguo yetu
Jan 28, 2019 04:46Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kufungwa kwa mara nyingine shughuli za serikali, ni miongoni mwa machaguo makuu kwa ajili ya kukabiliana na Kongresi kuhusiana na kadhia ya ujenzi wa ukuta wa mpakani.
-
Misala ya Waislamu yamtia kiwewe rais wa Marekani, Donald Trump
Jan 21, 2019 13:01Njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kujaribu kuchafua sura ya Waislamu na wahajiri wanaoingia nchini humo, zimeonesha ni kiasi gani rais huyo alivyo na mtazamo finyu kuhusiana na Uislamu na jinsi anavyotiwa kiwewe na dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
-
Kiongozi wa Wademocrati akataa pendekezo jipya la Trump
Jan 20, 2019 09:13Kiongozi wa wawakilishi wa chama cha Democratic katika Baraza la Seneti la Marekani amekataa pendekezo la Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa ajili ya kukomesha hatua yake ya kufunga shughuli zote za serikali ya nchi hiyo.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya
Jan 20, 2019 04:13Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.
-
Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki
Jan 19, 2019 13:07Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo maalumu wa kubadilishana fedha na Iran maarufu kwa jina la SPV na kusema kuwa, kisingizio kinachotolewa na nchi hizo cha kwamba haziwezi kuyalazimisha mashirika ya nchi zao, hakikubaliki kabisa.
-
Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo
Jan 14, 2019 12:07Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamesema kuwa Rais Donald Trump ndiye anayepaswa kubebeshwa dhima ya kufungwa kwa taasisi za serikali nchini humo tokeo mwezi uliopita hadi sasa.