Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Watu 28 wauawa katika mashambulizi ya jeshi la Ethiopia

    Watu 28 wauawa katika mashambulizi ya jeshi la Ethiopia

    Dec 17, 2021 04:03

    Vyombo vya habari vimewanukuu wanamgambo wa kundi la Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray wakisema kuwa mashambulizi ya anga ya ndege za jeshi la Ethiopia yameua watu 28 na kujeruhi wengine 76 katika mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Mgogoro wa Ethiopia kujadiliwa kwenye kikao cha dharura cha Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Mgogoro wa Ethiopia kujadiliwa kwenye kikao cha dharura cha Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Dec 15, 2021 23:57

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa litakutana mjini Geneva kesho Ijumaa kwa kikao cha dharura kitakachojadili uhalifu wa kivita unaofanywa na pande zinazopigana nchini Ethiopia.

  • Abiy Ahmed arejea Addis Ababa kutoka kwenye medani ya vita, Ethiopia yajiandaa kushambulia ngome za mwisho za waasi wa Tigray

    Abiy Ahmed arejea Addis Ababa kutoka kwenye medani ya vita, Ethiopia yajiandaa kushambulia ngome za mwisho za waasi wa Tigray

    Dec 08, 2021 10:57

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, ametangaza leo Jumatano kwamba amerejea Addis Ababa kutoka kwenye medani ya vita, na kuahidi kuendeleza vita dhidi ya kundi la Tigray People's Liberation Front (TPLF).

  • Jeshi la serikali ya Ethiopia lakomboa miji 3 ya kimkakati katika mapigano na waasi wa Tigray

    Jeshi la serikali ya Ethiopia lakomboa miji 3 ya kimkakati katika mapigano na waasi wa Tigray

    Dec 07, 2021 04:47

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed asema kwamba vikosi vya nchi yake vimedhibiti tena udhibiti miji 3 ya kimkakati katika eneo la kaskazini la Amhara iliyokuwa mikononi mwa kundi la Tigray People's Liberation Front.

  • UN na AU zatoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, onyo la kukaririwa hali ya Kabul latolewa

    UN na AU zatoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, onyo la kukaririwa hali ya Kabul latolewa

    Dec 03, 2021 23:06

    Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, huku afisa wa Umoja wa Mataifa akionya dhidi ya kukaririwa hali iliyoshudiwa Kabul nchini Afghanistan baada ya Taliban kuidhibiti nchini hiyo, huko Addis Ababa.

  • Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia

    Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia

    Dec 01, 2021 00:13

    Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeshambulia uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi ya askari wa Ethiopia katika mji wa Baidoa, ulioko kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu

    Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu

    Nov 30, 2021 07:25

    Mgogoro wa Ethiopia umechukua wigo mpana zaidi kiasi kwamba, akthari ya weledi wa mambo wa mambo wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutekwa na kuangukia mikononi mwa waasi mji mkuu Addis Ababa na kuenea vita vya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia

    Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia

    Nov 28, 2021 00:05

    Jeshi la Sudan limesema, askari wake kadhaa wameuawa katika shambulio lililofanywa na vikosi vya jeshi la Ethiopia katika eneo la mpakani linalozozaniwa na nchi mbili.

  • WFP: Mamilioni ya watu wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mwa Ethiopia

    WFP: Mamilioni ya watu wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mwa Ethiopia

    Nov 27, 2021 01:10

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, idadi ya watu wanaohitaji msaada wa chakula kaskazini mwa Ethiopia imeongezeka na kufikia takribani watu milioni 9.4 na hii ni kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia kuingia katika medani ya vita kukabiliana na TPLF

    Waziri Mkuu wa Ethiopia kuingia katika medani ya vita kukabiliana na TPLF

    Nov 23, 2021 04:05

    Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia ametangaza kuwa leo atajitosa kwenye medani ya vita kati ya vikosi vya serikali ya nchi hiyo na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS