Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Mamia ya raia wauawa katika eneo la Somali nchini Ethiopia

    Mamia ya raia wauawa katika eneo la Somali nchini Ethiopia

    Jul 27, 2021 10:57

    Serikali ya jimbo la Somali huko mashariki mwa Ethiopia imewatuhumu waasi kutoka jimbo jirani la Afar kuwa wameua mamia ya raia katika shambulio la hivi karibuni.

  • Wapiganaji wa eneo la Tigray Ethiopia watishia kuelekea Addis Ababa

    Wapiganaji wa eneo la Tigray Ethiopia watishia kuelekea Addis Ababa

    Jul 25, 2021 06:53

    Harakati ya Ukombozi ya eneo la Tigray (TPLF) imesema wapiganaji wa harakati hiyo ya kaskazini mwa Ethiopia hivi sasa wapo katika hali na nafasi nzuri ya kusonga mbele na kuelekea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Addis Ababa.

  • Jeshi la Ethiopia lasema liko tayari kulinda Bwawa la Renaissance

    Jeshi la Ethiopia lasema liko tayari kulinda Bwawa la Renaissance

    Jul 23, 2021 23:25

    Meja Jenerali Yalma Merdasa, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ethiopia, amesema kwamba kikosi hicho hakijatoa jicho lake kwenye Bwawa la Renaissance hata kwa dakika moja, na kwamba kiko tayari kulinda usalama wa anga wa nchi hiyo.

  • Watu 20 wauawa katika mapigano karibu na Tigray,  Ethiopia

    Watu 20 wauawa katika mapigano karibu na Tigray, Ethiopia

    Jul 22, 2021 23:47

    Watu 20 wameuawa katika mapigano ya silaha yaliyojiri karibu na eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.

  • Sudan yaionya Ethiopia kuhusu Bwawa la al Nahdha

    Sudan yaionya Ethiopia kuhusu Bwawa la al Nahdha

    Jul 22, 2021 06:21

    Waziri Mkuu wa Sudan ametoa onyo kwa serikali ya Ethioia isichukue uamuzi wowote wa upande mmoja kuhusu mgogoro wa Bwawa la al Nahdha.

  • Ethiopia yauonya Umoja wa Ulaya; yautaka usipendelee upande wowote katika mzozo wa Bwawa la al-Nahdha

    Ethiopia yauonya Umoja wa Ulaya; yautaka usipendelee upande wowote katika mzozo wa Bwawa la al-Nahdha

    Jul 21, 2021 07:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ethiopia amesema kuwa, nchi yake inapinga upatanishi wa aina yoyote wa Bwawa la al-Nahdha ambao upo nje ya fremu ya Umoja wa Afrika na kuuonya Umoja wa Ulaya kwamba, usipendelee upande wowote katika mzozo huo.

  • Zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha lamalizika

    Zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha lamalizika

    Jul 19, 2021 21:51

    Licha ya kuweko maonyo na vitisho vikali vya Sudan na Misri, lakini duru moja ya masuala ya umwagiliaji maji nchini Ethiopia imesema kuwa, zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha limekamilika.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia aapa kuiangamiza moja kwa moja harakati ya ukombozi wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia aapa kuiangamiza moja kwa moja harakati ya ukombozi wa Tigray

    Jul 19, 2021 03:26

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameapa kuitokomeza moja kwa moja Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray TPLF, kundi ambalo liliwahi kuwa chama tawala nchini humo na ambalo sasa serikali ya Addis Ababa inalitambua kama harakati ya kigaidi.

  • Ethiopia yaanza kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha

    Ethiopia yaanza kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha

    Jul 17, 2021 08:18

    Serikali ya Ethiopia imeanza zoezi la kumimina maji kwa awamu ya pili katika Bwawa la al Nahdha bila ya kujali kukubali au kukataa nchi mbili za Misri za Sudan zilizolalamikia vikali zoezi hilo.

  • RSF yalaani kukamatwa waandishi habari nchini Ethiopia, yaamuru waachiwe huru

    RSF yalaani kukamatwa waandishi habari nchini Ethiopia, yaamuru waachiwe huru

    Jul 13, 2021 23:37

    Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF) imelaani kile ilichokiita "kukamatwa kwa umati" kwa waandishi wa habari 12 wa Ethiopia ambao walitiwa nguvuni ili "kuwazuia kuchunguza kwa uhuru mzozo unaoendelea katika eneo la Tigray".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS