-
SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video
Nov 24, 2024 07:28Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ametangaza habari ya kuangamizwa na kutiwa mbaroni magaidi 88 katika mazoezi ya kijeshi ya mashahidi wa usalama kwenye mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Pakistan yamtangaza rasmi Netanyahu kuwa ni gaidi, yaitaka Jamii ya Kimataifa nayo pia ifanye hivyo
Jul 23, 2024 06:32Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni, ni "gaidi".
-
Magaidi zaidi ya 100 waangamizwa katika mji wa Idlib Syria
Sep 10, 2023 07:30Zaidi ya magaidi 100 wameangamizwa nchini Syria na kutoa pigo kwa mabaki ya wapiganaji wa kigaidi katika nchi hiyo.
-
Russia: Nchi za Afrika zina haki ya kuchagua ziwe na ushirika na nani na kwa masharti gani
Mar 29, 2023 07:10Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, nchi za bara la Afrika zina haki ya kuchagua washirika wao wa usalama, hasa baada ya nchi za Magharibi kushindwa kuleta utulivu na uthabiti katika bara hilo.
-
Iran yasisitiza kulipiza kisasi mauaji ya Jenerali Soleimani na kufukuzwa vikosi vya kigaidi vya Marekani
Jan 08, 2023 04:46Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi dhidi ya wahusika wa kitendo cha kigaidi cha mauaji ya Luteni Jenerali Soleimani na kusisitiza kuwa "kesi hii itabaki wazi hadi magaidi hao watakapoadhibiwa."
-
Kukirihishwa polisi na vyombo vya habari vya Magharibi katika kukabiliana na kuakisi ugaidi wa Wazungu
Dec 27, 2022 02:28Shambulio la kigaidi na la ubaguzi wa rangi lililotokea hivi karibuni Paris, mji mkuu wa Ufaransa, kwa mara nyingine limeonesha jinsi polisi na vyombo vya habari vya Magharibi vinavyokirihishwa, kuchukizwa na kutopenda kabisa kukabiliana na kuakisi vitendo vya kigaidi vinavyoifanywa na Wazungu magaidi.
-
Syria: Tutaendelea na mapambano dhidi ya ugaidi hadi tutakapoisafisha ardhi yetu yote
Nov 09, 2022 07:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, mapambano dhidi ya magenge ya kigaidi huko kaskazini na kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu yataendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Syria itakaposafishwa kikamilifu.
-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 17, 2022 03:43Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya
Mar 12, 2022 10:43Sambamba na kuendelea vita huko Ukraine, kuwepo kwa vikosi na wapiganaji wa kigeni kumevipa vita hivyo sura na mwelekeo mpya. Ni baada ya Rais Vladimir Putin wa Russia kuafiki suala la kuwezesha wapiganaji na vikosi vya kujitolea vinavyounga mkono nchi hiyo kushiriki katika vita vya Ukraine.
-
Mapinduzi ya Burkina Faso na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Jan 26, 2022 11:25Kundi la askari wa jeshi la Burkina Faso linalojiita Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration chini ya uongozi wa Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba Jumatatu wiki hii lilijitokeza katika tevisheni ya taifa ya nchi hiyo likitangaza kusitishwa Katiba, kuivunja Serikali na Bunge na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Wanajeshi hao walisema kuwa Burkina Faso sasa iko chini ya mamlaka yao.