-
Kongresi ya Marekani yaishinikiza EU iitambue Hizbullah kama kundi la kigaidi
Jul 28, 2021 07:17Kundi moja la wawakilishi wa vyama viwili vya Republican na Democratic katika Kongeresi ya Marekani limetoa wito wa kushinikizwa Umoja wa Ulaya ili uitambua harakati yote ya Hizbullah kuwa ni "kundi la kigaidi".
-
Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq
Mar 10, 2021 02:48Idara ya Intelijinisia ya jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kinara mashuhuri wa magaidiwa kundi la kitakfiri la Daesh anayefahamika kwa jina la Cihnjachinja huko Talafar nchini humo.
-
Kuongezeka ugaidi Nigeria; mamia ya wanafunzi watekwa nyara
Feb 28, 2021 08:52Mashambulio ya kigaidi yangali yanaendelea katika nchi za magharibi mwa Afrika na hasa nchini Nigeria. Katika mashambulio ya karibuni kabisa, mamia ya wanafunzi wametekwa nyara nchini humo kufuatia shambulio lililofanywa na wabeba silaha katika shule moja katika jimbo la Zamfara, kaskazini mwagharibi mwa nchi hiyo.
-
Pelosi: Walioshambulia Kongeresi ni magaidi wa ndani ya Marekani
Feb 06, 2021 13:23Spika wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa waungaji mkono wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump ambao mwezi Januari mwaka huu walishambulia jengo la Kongresi ni magaidi wa ndani ya nchi.
-
Hatua kali za kiusalama zachukuliwa katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad
Jan 25, 2021 02:31Duru moja ya Iraq imetangaza habari ya kuchukuliwa hatua kali za kiusalama katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad hasa baada ya magaidi wa Daesh kufanya mashambulio ya kigaidi yaliyoua na kujeruhi makumi ya watu katikati ya mji huo Alkhamisi iliyopita.
-
Harakati ya An-Nujabaa Iraq yatoa indhari: Magaidi wanapanga kushambulia Najaf na Karbala
Jan 24, 2021 04:40Msemaji wa Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq ametahadharisha kuhusu mpango wa magaidi wa kutaka kushambulia maeneo matakatifu ya kidini ya nchi hiyo na kusisitiza kwamba makundi ya Muqawama yatavihamishia vita kwenye ardhi za wanaotaka kuiteketeza Iraq.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 03:58Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Wamarekani magaidi waendelea kuiba mafuta ya Syria
Oct 28, 2020 12:24Duru mbalimbali za Syria zimetangaza habari ya kuendelea wizi wa mafuta ya nchi hiyo unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani.
-
Zarif: Magharibi inapaswa iache kuwapa hifadhi na kuwasaidia kifedha magaidi
Aug 02, 2020 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia ulazima wa nchi za Magharibi kuacha kuyahami na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi yanayopinga Mapinduzi na akasema: Kutokea kwenye maficho yao walikopewa hifadhi ndani ya Marekani na Ulaya, magaidi wanaandaa machafuko na mauaji ya raia wa Iran.
-
Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani
Aug 01, 2020 13:47Vikosi vya Usalama vya Iran vimemtia mbaroni Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani.