-
Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani
Jul 08, 2020 03:03Jeshi la Syria limetangaza kutekeleza oparesheni ambayo imepelekea kukamatwa wanachama wa kundi la kigaidi ambalo linafungamana na Marekani mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Chad laua wapiganaji elfu moja wa Boko Haram
Apr 10, 2020 07:55Msemaji wa jeshi la Chad ametangaza kuwa jeshi hilo limewaangamiza magaidi elfu moja wa kundi la Boko Haram huko Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria
Mar 19, 2020 02:43Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni
Mar 06, 2020 08:23Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa Uturuki inatekeleza maagizo ya Marekani na inafanya juu chini kuhakikisha kwamba Damascus haikomboi mkoa wa Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.
-
Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib
Feb 28, 2020 01:17Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Magaidi 60 waangamizwa Idlib katika mashambulio ya anga ya Syria na Russia
Feb 13, 2020 03:35Magaidi wasiopungua 60 wameangamizwa na makumi ya wengine kujeruhia mashariki mwa mji wa Idlib kufuatia mashambulio ya anga ya pamoja ya majeshi ya Syria na Russia.
-
"ISIS walitaka kushambulia ubalozi wa Marekani Lebanon na kuisingizia Hizbullah"
Jan 24, 2020 06:15Gazeti la al Jamhuriyyah la Lebanon limefichua kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) lilikuwa limepanga njama za kushambulia ubalozi wa Marekani mjini Beirut ili kuibebesha lawama harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah hasa baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq
Jan 12, 2020 12:13Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.
-
Russia yafunga maelfu ya tovuti za Intaneti kwa sababu za ugaidi
Dec 12, 2019 02:18Serikali ya Russia imetangaza kuwa, tangu kuanza mwaka huu wa 2019 hadi hivi sasa imeshafunga mitandao 50 elfu ya Intaneti kutokana na kueneza taarifa za kigaidi nchini humo.
-
Magaidi 19 wauawa katika oparesheni ya jeshi la Mali
Nov 18, 2019 07:26Jeshi la Mali ilimetangaza kuwa limewauwa magaidi 19 katika oparesheni zake mbili katikati mwa nchi hiyo.