-
EU: Mashambulio ya utawala wa Kizayuni Ukanda wa Ghaza yanakanyaga sheria za kimataifa
Oct 29, 2023 02:27Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni kwenye maeneo ya makazi ya watu, vituo vya matibabu na skuli za Ghaza yanakanyaga sheria za kimataifa na utu na ubinadamu.
-
Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza
Oct 28, 2023 23:30Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza.
-
Wataalamu wailaumu vikali Misri kwa msimamo dhaifu mbele ya jinai za Israel huko Ghaza
Oct 28, 2023 11:02Wataalamu na wachambuzi mbalimbali wameendelea kutoa lawama kali dhidi ya serikali ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri kwa msimamo dhaifu inaoonesha mbele ya jinai za kuchumpa mipaka zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza.
-
Kupasishwa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ghaza
Oct 28, 2023 08:39Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio lililopendekezwa na nchi za Kiarabu na kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kibinadamu haraka iwezekanavyo huko Ghaza.
-
Qatar yasikitishwa na utendaji kazi wa Baraza la Usalama huko Ghaza
Oct 26, 2023 23:02Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amelalamikia siasa za utolewaji misaada ya kibinadamu huko Ghaza na kushindwa Baraza la Usalama kupitisha azimio kuhusiana na matukio ya eneo hilo.
-
Guterres: Nina wasiwasi mkubwa kuhusu ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa huko Gaza
Oct 24, 2023 23:48Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema: Hali katika Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) inazidi kuwa mbaya na huenda vita vya Gaza vikaenea katika eneo hilo.
-
Ajuza Muisrael aliyekuwa mateka asimulia alivyokirimiwa na wapiganaji wa HAMAS+VIDEO
Oct 24, 2023 11:02Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.
-
Jihad Islami: Misimamo ya nchi za Kiarabu na Kiislamu ni dhaifu
Oct 23, 2023 22:49Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa misimamo dhaifu ya nchi za Kiarabu na Kiislamu inazidisha mateso na masaibu kwa watu wa Ghaza.
-
Rais wa Algeria aagiza kuanzishwa daraja la angani la misaada kwa ajili ya Gaza
Oct 22, 2023 22:53Rais wa Algeria ameagiza kuanzishwa daraja la angani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah.
-
Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza
Oct 22, 2023 02:56Rwanda imetuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza, kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina waliohasiriwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.