-
HAMAS yalaani vikao vya viongozi wa Palestina na mawaziri, wabunge wa utawala wa Kizayuni
Sep 25, 2021 00:12Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikao vinavyofanywa baina ya maafisa wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Sudan yacheza ngoma ya Wazayuni, yatwaa mali za harakati ya Hamas
Sep 23, 2021 22:47Serikali ya Sudan imefuata nyayo za utawala katili wa Israel na kuchukua hatua ya kutwaa mali na milki za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Hamas yatahadharisha kuhusu hatari ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 19, 2021 12:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imetahadharisha kuhusu hatari za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na taathira zake mbaya kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
HAMAS yawataka Wapalestina wauhami Msikiti wa Aqsa
Sep 05, 2021 22:34Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika mji wa Quds Tukufu ametoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al-Aqsa ili kuuhami na kuulinda dhidi ya uvamizi wa Walowezi wa Kizayuni, wakati wa sherehe na matambiko yao.
-
Hamas yapinga masharti ya Marekani kwa shirika la UNRWA
Sep 03, 2021 03:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imepinga suala la kuanza tena shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kibinadamu kwa Wapalestina, UNRWA kwa kifupi.
-
Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz
Aug 30, 2021 06:52Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.
-
HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao
Aug 29, 2021 10:09Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatavumilia katu kufanyiwa mapatano haki zao za kitaifa na watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao.
-
HAMAS: Israel inamiliki mabomu ya atomiki, sisi hatupaswi kuwa hata na bunduki ya kujihami?
Aug 26, 2021 03:34Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali jinai za utawala ghasibu wa Israel na kuhoji kwa kuuliza, utawala huo unamiliki mabomu ya nyuklia, sisi hatupaswi kumiliki hata bunduki ya kujihami?
-
Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama
Aug 22, 2021 23:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.
-
Wapalestina watakiwa wajitokeze kwa wingi katika kumbukumbu ya kuchomwa moto Msikiti wa Al Aqsa
Aug 20, 2021 03:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kukumbuka tukio la kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa.