Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Wapalestina Walaani Israel kwa kuzuia chanjo ya Corona kufikishwa Ghaza

    Wapalestina Walaani Israel kwa kuzuia chanjo ya Corona kufikishwa Ghaza

    Feb 16, 2021 22:56

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.

  • HAMAS yalaani njama ya kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    HAMAS yalaani njama ya kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Feb 16, 2021 09:09

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango wa kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.

  • Hamas, Arab League zakaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Israel

    Hamas, Arab League zakaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Israel

    Feb 07, 2021 03:48

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza hukumu ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye maslahi kwa wananchi wa Palestina na iliyoughadhabisha mno utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS yatoa onyo dhidi ya uingiliaji wowote wa kuvuruga uchaguzi wa Palestina

    HAMAS yatoa onyo dhidi ya uingiliaji wowote wa kuvuruga uchaguzi wa Palestina

    Feb 05, 2021 04:03

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo dhidi ya hatua yoyote ya kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi ujao wa Palestina.

  • HAMAS: Achaneni na ndoto za kujenga imani na matumaini kwa serikali mpya ya Marekani

    HAMAS: Achaneni na ndoto za kujenga imani na matumaini kwa serikali mpya ya Marekani

    Jan 25, 2021 09:09

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa mtazamo wa baadhi ya viongozi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuwa na imani na matumaini na serikali mpya Marekani.

  • HAMAS: Baadhi ya mataifa ya Kiarabu ni marafiki wa utawala haramu wa Israel

    HAMAS: Baadhi ya mataifa ya Kiarabu ni marafiki wa utawala haramu wa Israel

    Jan 09, 2021 03:53

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, baadhi ya mataifa ya Kiarabu ambayo yamekuwa yakifanya urafiki na Wazayuni yanapinga jihadi na harakati za muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Israel.

  • Hamas yasisitizia mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni

    Hamas yasisitizia mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni

    Dec 28, 2020 04:43

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mapambano ya silaha dhidi ya utawala wa Kizayuni ambao ndiye adui mkubwa wa ubinadamu, Waislamu na Wapalestina, ndiyo njia pekee ya kupambana na kumshinda adui huyo mtenda jinai.

  • Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu

    Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu

    Dec 24, 2020 04:34

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni sawa na kuwapiga jambia kwa nyuma wananchi wa Palestina na umma wa Kiislamu kwa ujumla.

  • Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel

    Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel

    Dec 21, 2020 04:46

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unaunga mkono sera za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa madhara na ukiukaji wa haki za Wapalestina.

  • Hamas yailaani Israel kwa kumuua kijana Mpalestina

    Hamas yailaani Israel kwa kumuua kijana Mpalestina

    Dec 06, 2020 21:50

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel kumuua shahidi kijana Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 14.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS