Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel

    Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel

    Oct 09, 2025 07:55

    Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha tangazo la kusitishwa vita Ghaza kufuatia siku tatu za mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya harakati ya ukombozi wa Palestina ya Hamas na utawala wa kizayuni Israel nchini Misri kulingana na mpango uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa

    Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa

    Oct 07, 2025 07:05

    Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya Qur'ani Tukufu ambapo katika Surat Muhammad, aya ya 7 tunasoma: "Mkimnusuru Mwenyezi Mungu basi na Yeye atakunusuruni."

  • Hamas: Msimamo mmoja wa Muqawama wa Palestina umeitenga zaidi Israel

    Hamas: Msimamo mmoja wa Muqawama wa Palestina umeitenga zaidi Israel

    Oct 07, 2025 02:41

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema msimamo mmoja ulioidhinishwa na mirengo yote ya Muqawama wa Palestina kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani la kusitisha mapigano Gaza, umepelekea kuzidi kutengwa Israel kimataifa.

  • Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?

    Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?

    Oct 05, 2025 22:48

    Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.

  • Kiongozi wa Hamas ajitokeza kwa mara ya kwanza tangu Israel iliposhambulia Doha

    Kiongozi wa Hamas ajitokeza kwa mara ya kwanza tangu Israel iliposhambulia Doha

    Oct 05, 2025 04:08

    Khalil al-Hayya kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu utawala wa Israel ulipowashambulia huko Doha maafisa wa harakati hiyo ya Muqawama ya Palestina.

  • Hamas: Mashambulizi ya Israel dhidi ya msafara wa Sumud ni 'ugaidi wa baharini'

    Hamas: Mashambulizi ya Israel dhidi ya msafara wa Sumud ni 'ugaidi wa baharini'

    Oct 03, 2025 00:01

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud ukielekea Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Tony Blair 'ndugu wa shetani' ni wa kupandishwa kizimbani, si wa kuiongoza Ghaza

    HAMAS: Tony Blair 'ndugu wa shetani' ni wa kupandishwa kizimbani, si wa kuiongoza Ghaza

    Sep 29, 2025 07:16

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango ulioripotiwa kuwa umeandaliwa na Marekani wa kumteua waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair awe liwali wa Ukanda wa Ghaza, na kusisitiza kwamba watu wa Palestina wanao uwezo wa kusimamia mambo yao wenyewe.

  • Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka 'kaburi' la askari wenu

    Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka 'kaburi' la askari wenu

    Sep 19, 2025 07:38

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa kizayuni wa Israel kwamba hatua yake ya kuzidi kujiingiza ndani ya Mji wa Ghaza kutaugeuza mji huo kuwa "kaburi," la wanajeshi wa kizayuni baada ya sita miongoni mwao kuangamizwa na wanamuqawama wa Palestina katika matukio tofauti wakati wa jeshi la Israel likiwa linaendeleza mashambulizi makali na ya kinyama yanayolenga kulikalia kwa mabavu eneo lote la Ghaza.

  • HAMAS: Kufanya ibada ya Kiyahudi Rubio na Netanyahu kwenye Ukuta wa Buraq ni kuitusi Quds na Msikiti wa Al Aqsa

    HAMAS: Kufanya ibada ya Kiyahudi Rubio na Netanyahu kwenye Ukuta wa Buraq ni kuitusi Quds na Msikiti wa Al Aqsa

    Sep 15, 2025 02:55

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, pamoja na Benjamin Netanyahu, ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC ya kufanya ibada ya Kiyahudi kwenye Ukuta wa Buraq, ambayo ni sehemu isiyotenganika na Msikiti wa Al-Aqsa, ni kuuvunjia heshima waziwazi utakatifu wa msikiti huo na ni ukiukaji wa hadhi ya kihistoria na kisheria ya Baitul Muqaddas.

  • Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki

    Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki

    Sep 14, 2025 07:18

    Waziri wa Nishati wa utawala wa kizayuni wa Israel, Eli Cohen ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Usalama na Kisiasa, amesema, upo uwezekano wa kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS walioko Istanbul, Uturuki, na amedai pia katika mahojiano aliyofanyiwa jana Jumamosi na tovuti ya Saudi Elaf kwamba "mtu yeyote anayehusishwa na Hamas hawezi kulala kwa amani popote duniani."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS