Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas: Hakuna shaka Marekani imehusika na shambulio la Doha

    Hamas: Hakuna shaka Marekani imehusika na shambulio la Doha

    Sep 12, 2025 03:27

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali ushirikiano wa Marekani na Israel katika shambulizi la anga dhidi ya Qatar na jaribio la mauaji dhidi ya viongozi wa kundi hilo hilo la kupigania ukombozi wa Palestina, ikisisitiza kuwa Washington na Tel Aviv zinataka kusambaratisha mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.

  • Dunia yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Israel nchini Qatar

    Dunia yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Israel nchini Qatar

    Sep 09, 2025 23:24

    Mashambulizi ya anga ya Israel huko Doha, Qatar, yaliyowalenga viongozi Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, yameendelea kulaaniwa na nchi na viongozi mbali mbali kote duniani.

  • HAMAS: Pendekezo la Marekani halilengi kumaliza vita vya Ghaza

    HAMAS: Pendekezo la Marekani halilengi kumaliza vita vya Ghaza

    Sep 09, 2025 07:34

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Bassem Naim amesema, mapendekezo ya awali yaliyowasilishwa na Marekani lengo lake lilikuwa ni kutaka yakataliwe, na si kuweza kufikiwa makubaliano ya kumaliza vita, kuhakikisha vikosi vamizi vinaondoka kikamilifu huko Ghaza na kutekelezwa mabadilishano ya wafungwa.

  • Harakati za muqawama zalaani mauaji ya maafisa wa Yemen yaliyofanywa na Israel; zaahidi kuendeleza mapambano

    Harakati za muqawama zalaani mauaji ya maafisa wa Yemen yaliyofanywa na Israel; zaahidi kuendeleza mapambano

    Aug 31, 2025 03:59

    Harakati za muqawama zimetoa taarifa kali tofauti za rambirambi na kulaani mauaji ya maafisa tisa wa ngazi ya juu wa Yemen yaliyofanywa na utawala wa Israel.

  • Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Aug 28, 2025 22:54

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa "inaifanya kuwa mshiriki" wa jinai za utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Hamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-Hayya

    Hamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-Hayya

    Aug 27, 2025 06:52

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga madai ya utawala haramu wa Israel kwamba umemuua kigaidi Khalil al-Hayya, mmoja wa viongozi waandamizi wa kundi hilo la Muqawama.

  • Hamas, Jihadul Islami zalaani uvamizi wa kifashisti wa Israel dhidi ya Yemen

    Hamas, Jihadul Islami zalaani uvamizi wa kifashisti wa Israel dhidi ya Yemen

    Aug 25, 2025 07:14

    Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimeshutumu vikali mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya mji mkuu wa Yemen na miundombinu ya kiraia, na kuyaelezea kama "ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa" na gharama ya kuilinda Palestina.

  • Ufaransa 'yamjia juu' balozi wa US Paris kwa kuituhumu kuwa inahatarisha maisha ya Mayahudi

    Ufaransa 'yamjia juu' balozi wa US Paris kwa kuituhumu kuwa inahatarisha maisha ya Mayahudi

    Aug 25, 2025 03:08

    Ufaransa imemwita balozi wa Marekani nchini humo Charles Kushner, baada ya mwanadiplomasia huyo kumwandikia barua Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akidai kwamba Paris imeshindwa kuchukua hatua za kutosha kukomesha vitendo vya mabavu dhidi ya Mayahudi raia wa nchi hiyo.

  • Hamas yapongeza 'ujasiri' wa mawaziri wa Uholanzi kujiuzulu juu ya Gaza

    Hamas yapongeza 'ujasiri' wa mawaziri wa Uholanzi kujiuzulu juu ya Gaza

    Aug 24, 2025 23:27

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepongeza hatua ya kujiuzulu mawaziri kadhaa wa Uholanzi, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Caspar Veldkamp, ​​kujibu hatua ya kukataa kwa serikali yao kuiwekea vikwazo Israel. Hamas imetaja kujiuzulu huko kama uamuzi wa kijasiri na wa kimaadili.

  • Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza

    Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza

    Aug 21, 2025 03:01

    Utawala wa Israel umeanza kupeleka vikosi vya jeshi lake kwenye viunga vya Jiji la Gaza kwa ajili ya kuanza kutekeleza mpango wake wa kukalia kwa mabavu eneo hilo kubwa zaidi la Ukanda wa Gaza, lakini Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa, Tel Aviv itashindwa kutimiza malengo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS