-
Hamas: Njama ya kuuawa Jenerali Soleimani wa Iran ni kwa maslahi ya Israel
Oct 05, 2019 08:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali njama iliyotibuka ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Hamas yatoa radiamali kwa uchaguzi wa utawala wa Kizayuni
Sep 18, 2019 20:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi wa bunge la Israel hakutaleta mabadiliko yoyote katika mwenendo wa muqawama wa Wapalestina.
-
Mwanachama mwingine mwandamizi wa HAMAS amewekwa kizuizini nchini Saudi Arabia
Sep 17, 2019 03:42Duru za Palestina zimetangaza kuwa mwanachama mwingine mwandamizi na muhimu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amekamatwa na kuwekwa kizuizini nchini Saudi Arabia.
-
Hamas yapongeza maamuzi ya Mahakama ya Ulaya
Sep 07, 2019 08:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Ulaya wa kuondoa jina la harakati hiyo na brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Ismail Hania apongeza hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mazungumzo na ujumbe wa Hamas
Sep 01, 2019 23:35Ismail Hania Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kushukuru yale aliyoyazungumza katika mazungumzo na ujumbe wa harakati hiyo uliofanya ziara hapa nchini hivi karibuni .
-
Hamas: Israel inawalenga kwa silaha waandishi habari ili kuficha ukweli
Aug 03, 2019 03:40Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekitaja kitendo cha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuwafyatulia risasi waandishi habari wanaoripoti maandamano makubwa ya Wapalestina ya Haki ya Kureja katika mipaka ya Ghaza kuwa ni juhudi zilizofel za kutaka kuficha ukweli na jinai za utawala huo.
-
HAMAS: Wapalestina wameungana kitu kimoja dhidi ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne."
Jul 29, 2019 03:14Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, wananchi wa Palestina wameungana kitu kimoja dhidi ya mpango wa Marekani uliopewa jina la eti "Muamala wa Karne".
-
HAMAS: Kutimuliwa mwanaharakati wa Saudia msikiti wa Al Aqsa ni vuguvugu lililotokana na Wapalestina wenyewe
Jul 24, 2019 08:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza kwamba: Hatua iliyochukuliwa na vijana wa Kipalestina ya kumtoa nje ya msikiti wa Al Aqsa mwandishi wa habari kutoka Saudi Arabia imetokana na vuguvugu na mwamko uliosababishwa na hasira za vijana hao.
-
Ali Shamkhani: Iran itaendelea kuunga mkono muqawama wa Palestina hadi utakapopata ushindi
Jul 23, 2019 08:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuiunga mkono Palestina hadi muqawama utakapopata ushindi mbele ya utawala unaoua watoto wa Israel.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatima ya Kadhia ya Palestina bila shaka itakuwa ni kwa manufaa ya Wapalestina
Jul 22, 2019 07:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ushindi haupatikani bila ya muqawama na mapambano na kwa mujibu wa ahadi isiyo na shaka ya Mwenyezi Mungu, hatima ya kadhia ya Palestina bila shaka itakuwa ni kwa manufaa ya Wapalestina.