-
Wito wa Hamas katika kukaribia mwaka wa 70 wa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina
May 13, 2018 22:37Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa taarifa katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 70 tangu kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina yaani tarehe 15 Mei na kuwatolea mwito wananchi wa Palestina kushiriki kwa wingi katika maandamano ya "Haki ya Kurejea" huko Quds, katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan, Ukanda wa Ghaza na ardhi za Palestina zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948.
-
HAMAS: Kuvamiwa msikiti wa Al Aqsa na walowezi wa Kizayuni kumefanywa kwa uungaji mkono wa Marekani
May 13, 2018 22:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, uvamizi uliofanywa walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa Al Aqsa hapo jana ni namna fulani ya utoaji vitisho unaofanywa na utawala wa Kizayuni kwa uungaji mkono wa Marekani.
-
Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa
May 06, 2018 02:55Wapalestina wasiopungua sita wanachama wa harakakati ya muqawama ya Palestina Hamas wameuawa katika mripuko wa bomu ulioukumba Ukanda wa Gaza jana Jumamosi.
-
HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na nchi zinazouhami Muqawama
May 05, 2018 10:26Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitizia ulazima wa kuendelezwa uhusiano wa kistratejia na nchi zinazounga mkono na kuuhami muqawama wa Palestina.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio uliomuuwa Fadi al Batsh
Apr 27, 2018 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutaja utawala wa kizayuni wa Israel kuwa ndio uliomuua Fadi al Batsh msomi na mwanasayansi wa Kipalestina huko Malaysia.
-
Ismail Haniya: Waliomuua mwanasayansi wa Kipalestina watalipa gharamu kubwa
Apr 24, 2018 22:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema wahusika wa mauaji ya Fadi al Batsh, mwanachama msomi wa harakati hiyo, watalipa gharama kubwa kwa kumuua mwanasayansi huyo nchini Malaysia.
-
Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa Fadi al Batsh nchini Malaysia
Apr 22, 2018 09:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutuhumu utawala wa Kizayuni kuwa umehusika kumuua Fadi al Batsh mwanachama wa harakati hiyo na kutahadharisha kuwa italipiza kisasi damu ya raia huyo wa Palestina.
-
Hamas: Kutunguliwa ndege za Israel Gaza, ni ishara ya kuwa macho muqawama
Apr 12, 2018 10:04Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kitendo cha harakati hiyo kufanikiwa kutungua ndege za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel zinazoshambulia Ukanda wa Gaza ni ithibati tosha kuwa harakati hiyo ya muqawama imesimama kidete na iko tayari kuzima chokochoko na uvamizi wa Tel Aviv.
-
Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea
Apr 10, 2018 03:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema maandamano makubwa ya amani yataendelea hadi pale mzingiro wa kibaguzi katika Ukanda wa Gaza utakapoondolewa.
-
Hamas yaitaka Arab League iishtaki Israel katika mahakama ya ICC
Apr 03, 2018 09:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuwasilisha faili la mauaji yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.