Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas

    Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas

    Mar 03, 2018 01:38

    Kamanda wa vikosi vya ardhini vya utawala haramu wa lsrael amekiri kwamba, jeshi la utawala huo limepoteza uwezo wake mkubwa mkabala wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya muqawama wa Palestina HAMAS.

  • Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani

    Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani

    Feb 25, 2018 23:11

    Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kufanyika maandamano ya kupinga nia ya Marekani ya kutaka kuuhamishia Quds ubalozi wake ulioko Tel Aviv, karibuni hivi.

  • Hamas: Wapalestina hawaogopi vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Hamas: Wapalestina hawaogopi vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Feb 20, 2018 00:32

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawaogopeshwi na vitisho vya utawala dhalimu wa Israel.

  • Radiamali ya Hamas kwa hatua ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi yake

    Radiamali ya Hamas kwa hatua ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi yake

    Feb 15, 2018 12:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja hatua ya Bunge la Wawakilishi la Marekani ya kupasisha sheria ya kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo kwa kisingizio kuwa Hamas inawatumia raia kama ngao ya binadamu, kuwa ni kitendo kinachokwenda sambamba na matakwa ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina

    Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina

    Feb 10, 2018 12:55

    Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, nchi hii imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina na pia ni nchi yenye taathira chanya zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Ismail Haniya: Mapambano dhidi ya Wazayuni yataendelea

    Ismail Haniya: Mapambano dhidi ya Wazayuni yataendelea

    Feb 03, 2018 23:11

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, maamuzi ya Marekani katu hayatabadilisha msimamo wa harakati hiyo.

  • Mwakilishi wa Hamas Iran: Madai ya kuwa na uhusiano na Israel yanapasa kusitishwa

    Mwakilishi wa Hamas Iran: Madai ya kuwa na uhusiano na Israel yanapasa kusitishwa

    Jan 23, 2018 04:51

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amelaani jinai na hatua za kujitanua za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kuwa madai ya kuwa na mahusiano na Israel yanapasa kusitishwa.

  • HAMAS yasisitiza kuimarisha uhusiano wake na Iran na Hizbullah ya Lebanon

    HAMAS yasisitiza kuimarisha uhusiano wake na Iran na Hizbullah ya Lebanon

    Jan 21, 2018 10:40

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema uhusiano wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na harakati ya Hizbullah ya Lebanon umerejea kwenye mkondo wake wa kawaida.

  • Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Jan 18, 2018 10:56

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds Tukufu.

  • Hamas yaitaka PLO kuutekeleza kivitendo uamuzi wake

    Hamas yaitaka PLO kuutekeleza kivitendo uamuzi wake

    Jan 17, 2018 01:00

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, uamuzi wa Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO kuhusiana na tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Beitul-Muqaddas utakkuwa na umuhimu pale PLO itakapoutekeleza kivitendo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS