-
Hamas yasema kesho ni 'Ijumaa ya Ghadhabu' ya kuihami Quds
Dec 07, 2017 11:20Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imeutaja uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kama tangazo la vita huku ikisema kuwa kesho itakuwa Ijumaa ya Ghadhabu na fursa kwa ulimwengu wa Kiislamu kuonyesha hasira zao dhidi ya Washington na Tel Aviv.
-
Hamas yakosoa hatua ya Israel ya kuzuia ujumbe wa Uswisi kutembelea Ukanda wa Ghaza
Nov 30, 2017 12:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuzuia ujumbe wa Uswisi kulitembelea eneo la Ukanda wa Ghaza kwa ajili ya kuonana na wawakilishi na wananchi wa eneo hilo si cha kibinadamu na kinakiuka haki za wananchi wa Palestina.
-
Hamas: Silaha zetu ni mstari mwekundu, hazina mjadala
Nov 28, 2017 04:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imepinga mwito wa kuitaka iweke chini silaha kama sehemu ya maridhiano ya kitaifa kati yake na harakati ya Fat'h.
-
Kiongozi wa HAMAS: Serikali ya Mamlaka ya Ndani inaandaa mazingira ya kuyavunja mapatano ya kitaifa ya Palestina
Nov 15, 2017 11:56Mahmoud Az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema masharti yanayotolewa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina yanaandaa mazingira ya kuyavunja mapatano ya kitaifa yaliyofikiwa baina ya Wapalestina.
-
Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina
Nov 02, 2017 04:27Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuna haja ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa Wapalestina hawana chaguo jingine ghairi ya muqawama.
-
Ripoti: Abbas asema hatochagua mawaziri kutoka HAMAS kama hawatokubali kuitambua Israel
Oct 30, 2017 23:16Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameripotiwa amesema kuwa hatowachagua wanachama wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kuwa mawaziri katika serikali yake endapo hawatokuwa tayari kutamka wazi na hadharani kuwa wanautambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas yapinga ushirikiano wa kiusalama kati ya serikali ya Abbas na Israel
Oct 28, 2017 23:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali kuanza tena ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya kiusalama.
-
Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli
Oct 28, 2017 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio umehusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya afisa wa ngazi ya juu wa harakati hiyo.
-
Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio "Hatari Kuu"
Oct 26, 2017 11:46Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amezitaka nchi na pande zote za eneo la Mashariki ya Kati zikubaliane na fikra kwamba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio "Hatari Kuu".
-
HAMAS: Katu hatutautambua rasmi utawala haramu wa Israel
Oct 23, 2017 04:31Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, harakati hiyo katu haitautambua utawala ghasibu wa Israel ambao umekuwa ukitenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.