-
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah wasimama Arafa
Jul 08, 2022 10:31Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wanasimama katika uwanja wa Arafa hii leo Ijumaa, kisimamo hicho kikiashiria kilele cha ibada tukufu ya Hijja.
-
Kundi la kwanza la mahujaji wa Kiirani laondoka nchini kwenda Saudia
Jun 12, 2022 07:57Kundi la kwanza la wananchi wa Iran wanaokwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija limeondoka nchini mapema leo Jumapili kwenda katika mji mtukufu wa Madina nchini Saudi Arabia.
-
Saudi Arabia: Chanjo ya corona ni sharti la kufanya ibada ya Hija mwaka huu
Mar 02, 2021 12:26Waziri wa Afya wa Saudi Arabia ametangaza kuwa, kupata chanjo ya virusi vya corona ni sharti muhimu kwa watu wote wanaoazimia kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Saudia yasitisha ibada ya Hija mwaka huu kwa wageni kutoka nje kwa sababu ya corona
Jun 23, 2020 03:40Serikali ya Saudi Arabia imetangaza rasmi kwamba wageni kutoka nchi za nje hawataruhuusiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Saudia yawataka Waislamu kuchelewesha maandalizi ya ibada ya Hija kutokana na kasi ya corona
Apr 01, 2020 08:09Waziri wa Hija wa Saudi Arabia amewataka Waislamu kote duniani kuchelewesha maandalizi ya ibada ya mwaka huu ya Hija hadi pale hali ya mambo kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona duniani itakapobaika vyema.
-
Sera ghalati za Bin Salman zawafanya Waislamu wasusie Hijja mwaka huu
Jul 09, 2019 03:03Sera ghalati na haribifu za Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia zimepelekea idadi kubwa ya Waislamu katika kona mbalimbali za dunia kutangaza kuwa hawatashiriki ibada tukufu ya Hijja mwaka huu.
-
Waislamu Kenya watakiwa kutofuata mwezi wa Saudia bali kufuata mwandamo wa kwao + Sauti
Aug 22, 2018 17:58Waislamu nchini Kenya wametakiwa kuzingatia mwezi mwandamo katika ukanda wa Afrika Mashariki ili kufanikisha maamuzi ya kiibada kama vile funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, Idul Fitr na Idul Adh'ha na kuacha kufuata Saudi Arabia au mwezi wa kimataifa. Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria + Sauti
Aug 20, 2018 08:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake uliosomwa leo kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mahujaji: Sera za Marekani ni kuchochea vita na kuwaulisha Waislamu wenyewe kwa wenyewe
Aug 20, 2018 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
-
Mkuu wa Mahujaji wa Iran awataka Waislamu kutumia fursa ya Hija kuweka pembeni tofauti zao
Aug 13, 2018 14:53Mkuu wa mahujaji wa Iran amesema kuwa, ibada ya Hija ni fursa nzuri sana kwa Waislamu katika nyuga tofauti na amezitaka nchi za eneo hili kutumia vizuri fursa ya Hija kuweka pembeni hitilafu zao ndogodongo na kuungana katika kuurejeshea heshima na utukufu wake umma mzima wa Kiislamu.