-
Hizbullah yapinga madai ya kuhusika na shambulio la maroketi
Mar 23, 2025 02:48Baada ya utawala wa Israel kudai kwamba maroketi 5 yalirushwa kuelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu jana Jumamosi, Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imekanusha kuhusika kivyovyote na shambulio hilo.
-
Hizbullah: Lebanon haitaanzisha katu uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni Israel
Mar 17, 2025 05:36Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesisitizia msimamo wa kudumu wa nchi hiyo kuhusiana na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasema, Lebanon kamwe haitokubali kufuata mkondo wa kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu.
-
Hizbullah: Muqawama uliilazimisha Israel kukubali usitishaji vita
Mar 10, 2025 11:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah amesema Israel ilikubali kusitisha mapigano na Lebanon baada ya kupata vipigo vikali kutoka kwa wapiganaji shupavu wa Muqawama.
-
Waziri Mkuu wa Yemen: Hizbullah imempigisha magoti adui Mzayuni
Feb 23, 2025 07:45Waziri Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi ya Yemen amesema kuwa Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah, imempigisha magoti adui Mzayuni.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Hatutasalimu amri na wala hatutashindwa
Feb 17, 2025 06:48Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem, amesema katika hotuba aliyotoa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuwaenzi makamanda waliouawa shahidi kwamba: Haj Imad Mughniyah alikuwa shakhsia wa kiusalama na kijeshi na mbunifu ambaye aliwaongoza Mujahidina kwa msingi wa moyo wa imani.
-
Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia
Feb 11, 2025 02:45Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ikisisitiza kuwa mapinduzi hayo yalibadilisha mkondo wa matukio na sura ya historia.
-
Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi Israel itakapoangamizwa
Jan 21, 2025 07:08Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kuwa itaendelea kuwasaidia na kushikama na wananchi wa Palestina hadi utawala wa Kizayuni wa Israel utakapoangamizwa.
-
Sheikh Naim Qassim: Nafasi ya Gaza itasajiliwa katika historia
Jan 18, 2025 11:46Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza makubaliano ya kustisha vita katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa nafasi ya Gaza katika kujitolea itasajiliwa katika historia.
-
Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake
Jan 06, 2025 07:09Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amewashauri walowezi haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu waondoke katika maeneo hayo kurejea walikotoka kwa sababu Yemen haitasitisha oparesheni zake za kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote
Nov 28, 2024 11:26Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imemshukuru Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na himaya yake na hatua za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kusimamisha vita nchini Lebanon.