Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Waziri Mkuu wa Yemen: Hizbullah imempigisha magoti adui Mzayuni

    Waziri Mkuu wa Yemen: Hizbullah imempigisha magoti adui Mzayuni

    Feb 23, 2025 07:45

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi ya Yemen amesema kuwa Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah, imempigisha magoti adui Mzayuni.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Hatutasalimu amri na wala hatutashindwa

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Hatutasalimu amri na wala hatutashindwa

    Feb 17, 2025 06:48

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem, amesema katika hotuba aliyotoa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuwaenzi makamanda waliouawa shahidi kwamba: Haj Imad Mughniyah alikuwa shakhsia wa kiusalama na kijeshi na mbunifu ambaye aliwaongoza Mujahidina kwa msingi wa moyo wa imani.

  • Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia

    Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia

    Feb 11, 2025 02:45

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ikisisitiza kuwa mapinduzi hayo yalibadilisha mkondo wa matukio na sura ya historia.

  • Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi Israel itakapoangamizwa

    Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi Israel itakapoangamizwa

    Jan 21, 2025 07:08

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kuwa itaendelea kuwasaidia na kushikama na wananchi wa Palestina hadi utawala wa Kizayuni wa Israel utakapoangamizwa.

  • Sheikh Naim Qassim: Nafasi ya Gaza itasajiliwa katika historia

    Sheikh Naim Qassim: Nafasi ya Gaza itasajiliwa katika historia

    Jan 18, 2025 11:46

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza makubaliano ya kustisha vita katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa nafasi ya Gaza katika kujitolea itasajiliwa katika historia.

  • Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Jan 06, 2025 07:09

    Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amewashauri walowezi haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu waondoke katika maeneo hayo kurejea walikotoka kwa sababu Yemen haitasitisha oparesheni zake za kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote

    Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote

    Nov 28, 2024 11:26

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imemshukuru Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na himaya yake na hatua za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kusimamisha vita nchini Lebanon.

  • ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon

    ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon

    Nov 21, 2024 03:48

    Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine 1,050 kujeruhiwa tangu jeshi la Iutawala huol lilianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon, Oktoba Mosi mwaka huu.

  • Hizbullah yashambulia maeneo ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah yashambulia maeneo ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 17, 2024 02:27

    Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya makombora katika maeneo kadhaa ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbulla yaendelea kutoa vipigo dhidi ya Wazayuni

    Hizbulla yaendelea kutoa vipigo dhidi ya Wazayuni

    Nov 16, 2024 07:25

    Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo na kuyatwanga kwa makombora na droni maeneo mbalimbali ya kijeshi ya Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS