Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Naeem Qassem: Shehena za meli za mafuta za Iran ni mafanikio makubwa ya kisiasa dhidi ya dhulma za Marekani

    Naeem Qassem: Shehena za meli za mafuta za Iran ni mafanikio makubwa ya kisiasa dhidi ya dhulma za Marekani

    Sep 11, 2021 21:45

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa shehena za meli za mafuta za Iran zilizotumwa Lebanon kwa ajili ya kupunguza mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni mafanikio ya kisiasa na kijamii mbele ya dhulma za serikali ya Washington na jinai zake dhidi ya wanadamu.

  • Hizbullah: Kutumwa meli ya mafuta ya Iran Lebanon ni mwanzo wa kuvunjwa mzingiro wa Marekani

    Hizbullah: Kutumwa meli ya mafuta ya Iran Lebanon ni mwanzo wa kuvunjwa mzingiro wa Marekani

    Sep 11, 2021 03:41

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, "kwa kutumwa meli ya mafuta ya Iran tumeingia kwenye awamu ya kuvunja mzingiro wa Marekani."

  • Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Aug 19, 2021 11:12

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa Siku ya Ashura na kusema, 'kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu)"

  • Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Aug 14, 2021 03:14

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.

  • "Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"

    Aug 13, 2021 08:33

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.

  • Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Aug 08, 2021 06:09

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kongresi ya Marekani yaishinikiza EU iitambue Hizbullah kama kundi la kigaidi

    Kongresi ya Marekani yaishinikiza EU iitambue Hizbullah kama kundi la kigaidi

    Jul 28, 2021 02:47

    Kundi moja la wawakilishi wa vyama viwili vya Republican na Democratic katika Kongeresi ya Marekani limetoa wito wa kushinikizwa Umoja wa Ulaya ili uitambua harakati yote ya Hizbullah kuwa ni "kundi la kigaidi".

  • Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Jul 23, 2021 07:13

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, shambulio la karibuni la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria ni uchokozi na uvamizi wa waziwazi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na ardhi ya Lebanon.

  • Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Jul 17, 2021 03:17

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah ina makombora 150,000 yafikayo umbali wa kilomita 700

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah ina makombora 150,000 yafikayo umbali wa kilomita 700

    Jul 15, 2021 03:18

    Vyombo vya habari utawala wa Kizayuni vimekiri kuhusu hatua kubwa iliyopiga harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika sekta ya makombora na kueleza kwamba Hizbullah ina makombora laki moja na nusu na endapo yatatokea makabiliano katika siku za usoni itakuwa na uwezo wa kufyatua makombora elfu moja hadi elfu tatu kwa siku kuelekea Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS