-
Hizbullah: Saudia inarejesha uhusiano na Israel bila gharama
Jul 30, 2016 01:38Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana na kusisitiza kuwa Riyadh inahuisha uhusiano wake na Tel Aviv pasina na kuzingatia maslahi ya Wapalestina.
-
Uingereza yakiri, Hizbullah ina nafasi chanya nchini Lebanon
Jul 25, 2016 00:22Balozi wa Uingereza mjini Bairut amesema kuwa, ni jambo lisilofaa kuilaumu harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa kushiriki katika vita dhidi ya wapiganaji wa kundi la Daesh nchini Syria.
-
Hizbullah yalaani kuchinjwa mtoto Abdullah wa Kipalestina na magaidi wa Syria + Video
Jul 21, 2016 03:50Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali jinai ya kutisha iliyofanywa na kundi la kigaidi la Harakati ya Nureddin al-Zenki ya kumchinja mtoto wa Kipalestina.
-
Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon
Jun 28, 2016 03:07Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kukwamisha mikakati ya kisiasa sambamba na kuzuia juhudi za kufanyika uchaguzi wa rais nchini Lebanon.
-
Vifaa vya ujasusi vya Israel vyanaswa na jeshi la Lebanon katika milima ya nchi hiyo
Jun 08, 2016 03:12Kamandi ya jeshi la Lebanon imetangaza kunasa na kusambaratisha mfumo wa kijasusi wa utawala haramu wa Kizayuni katika miinuko ya al-Barouk nchini humo.