-
Magaidi zaidi ya 100 waangamizwa katika mji wa Idlib Syria
Sep 10, 2023 07:30Zaidi ya magaidi 100 wameangamizwa nchini Syria na kutoa pigo kwa mabaki ya wapiganaji wa kigaidi katika nchi hiyo.
-
Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria
Mar 19, 2020 02:43Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Makumi ya raia wa Ufaransa wanapigana safu moja na magaidi nchini Syria
Mar 01, 2020 11:58Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vimetoa ushahidi unaooensha kuwa, kuna makumi ya raia wa Ufaransa wanaopigana bega kwa bega na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi
Mar 01, 2020 10:39Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.
-
Guterres asema yuko tayari kutuma ujumbe kaskazini mwa Syria
Mar 01, 2020 02:40Kufuatia kushtadi mizozo katika eneo la kaskazini mwa Syria, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametangaza utayarifu wake kwa ajili ya kutuma ujumbe wa umoja huo katika mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria
Feb 29, 2020 02:38Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.
-
Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria
Feb 25, 2020 10:36Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa Idlib umepokewa kwa hisia kali, si na Uturuki pekee na uvamizi wake wa kijeshi huko Syria, lakini pia Marekani nayo ambayo inaongoza muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa eti kupambana na ugaidi nchini humo, imeitaka Russia ifanye mazungumzo na magaidi hao.
-
Uturuki yakataa pendekezo la Russia kuhusu Idlib
Feb 22, 2020 02:43Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa hadi sasa nchi hiyo haijafikia natija ya kuridhisha kuhusiana na pendekezo la Russia la kusitisha mapigano katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Viongozi wa Uturuki waendelea kutoa kauli za vitisho dhidi ya Syria kuhusiana na Idlib
Feb 15, 2020 13:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa indhari ya kitakachotokea endapo mazungumzo ya nchi hiyo na Russia kuhusu kadhia ya Idlib hayatokuwa na tija.
-
Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya Syria
Feb 13, 2020 07:24Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.