-
Zarif: Wananchi wa Iran leo wanasimama kwa heshima licha ya vizingiti vingi
Jun 03, 2021 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lichqa ya kuwepo aina mbalimbali za njama za madola makubwa ya kibeberu, wananchi wa Iran hii leo wanasimama kidete na kwa heshima.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam Khomeini
Jun 04, 2020 07:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini.
-
Sheikh Isa Qassim: Umma wa Kiislamu una wajibu wa kulinda Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 04, 2020 07:38Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (MA) yanafanana na ya Mitume na kusisitiza kwamba umma wote wa Kiislamu una wajibu wa kuyalinda mapinduzi hayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imefedheheka duniani kutokana na mienendo yake
Jun 03, 2020 11:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema yanayojiri siku hizi Marekani yameweka wazi ukweli uliokuwa umefichwa nchini humo na kuongeza kuwa: "Wamarekani wamefedheheka duniani kutokana na mienendo yao."
-
Gerald Horne: Harakati za Imam Khomeini zilikuwa na taathira katika ushindi dhidi ya utawala Apartheid
Jun 04, 2019 17:03Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Huston nchini Marekani, Gerald Horne amesema kuwa harakati za Imam Ruhullah Khomeini nchini Iran zilitayarisha uwanja nzuri wa ushindi wa wapigania uhuru wa Afrika Kusini dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo, (apartheid) na katika mataifa mengine ya dunia.
-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yaliyashinda madola ya kibeberu kwa kusimama kidete wananchi
Jan 30, 2019 14:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hayati Imam Ruhullah Khomeini ni mhuishaji mkubwa zaidi wa dini katika zama za sasa na ndiye mhandisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi dhidi ya madola ya kibeberu kutokana na kusimama kidete kwa wananchi.
-
Mwanasiasa Mauritania: Imamu Khomeini (MA) ameiokoa Quds kutokana na kusahaulika
Jun 09, 2018 01:24Mkuu wa Chama cha Democratwi Wahdawi nchini Mauritania amesema kuwa, Ubunifu wa Imamu Khomeini (MA) katika kuitaja Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani kuwa siku ya Kimataifa ya Quds, kwa mara nyingine umehuisha matukufu ya Palestina kwa Waislamu duniani.
-
Askofu Mkuu wa Wakristo wa Iran: Imam Khomeini (MA) alikuwa daima akitilia mkazo uhuru wa jamii za dini za wachache
Jun 04, 2018 04:14Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na kaskazini mwa Iran amesema: Imam Khomeini (MA) mwasisi mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikuwa daima akitilia mkazo uhuru wa jamii za dini za wachache.
-
Mkuu wa Kituo cha Kiislamu UK: Kwa mtazamo wa Imam Khomeini, Qur'ani imeleta ujumbe wa umoja
Jun 03, 2018 15:02Mkuu wa Kituo cha Kiislamu nchini Uingereza ameashiria Wasia wa Kimaanawi na Kisiasa wa Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba, kwa mtazamo wa kiongozi huyo Qur'ani imeleta ujumbe wa amani na umoja kwa jamii ya wanadamu.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaanza mjini Tehran
Apr 19, 2018 15:12Mashindano ya Kimataifa ya 35 ya Qur'ani Tukufu yameanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 84 kutoka maeneo yote ya dunia.