-
Ayatullah Khatami: Adui anafanya njama za kulivunja moyo taifa la Iran
Jan 26, 2018 16:51Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa njama za maadui wa Uislamu sasa zimeelekezwa katika mitandao ya kijamii na wanafanya jitihada za kulivunja moyo na kulikosesha matumaini taifa la Iran.
-
Magaidi washambulia Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Jun 07, 2017 07:48Watu wawili akiwemo afisa wa usalama wameripotiwa kuuawa huku watu wengine wanane wakijeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia majengo ya Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini MA, katika mji mkuu Tehran.
-
Leo ni Khordad 15, siku ya kuadhimisha harakati ya kihistoria ya Imam Khomeini MA
Jun 05, 2017 04:25Jumatatu ya leo inasadifiana na tarehe 15 Khordad kwa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia, ni siku ya kukumbuka na kuadhimisha harakati ya kihistoria ya Imam Khomeini MA ya tarehe 5 Juni, 1963 Milaadia.
-
Rouhani asisitizia udharura wa kufuatwa njia na malengo ya Imam Khomeini
Jun 04, 2017 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa watu wa matabaka yote kujifunza kuhusu malengo, azma na maono ya Imam Ruhullah Khomeini MA, muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Hauli ya Imam Khomeini (MA) kufanyika kesho; Kiongozi Muadhamu atahutubia waombolezaji
Jun 03, 2017 15:11Hauli ya mwaka wa 28 tangu alipoaga dunia mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (MA) itafanyika kesho kwenye haram ya kiongozi huyo ambapo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anatazamiwa kuhutubia umma wa wananchi watakaohudhuria hauli hiyo.
-
Wananchi wa Iran na wapigania haki duniani, leo wanaomboleza kifo cha Imam Khomeini
Jun 04, 2017 03:35Wairani na wapigania uhuru na haki kote duniani, leo wanaomboleza kifo cha Imam Ruhullah Khomeini MA muasisi na muanzilishaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Javadi Amoli: Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti
Feb 27, 2017 07:43Ayatullah Abdullah Javadi Amoli, mwanazuoni mkubwa na Marjaa Taqlidi wa mjini Qum Iran amesema kuwa, Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti.
-
Rouhani: Iran sio nchi yenye hofu na chuki kwa wageni
Jan 30, 2017 08:22Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia muamala na uhusiano wake mzuri na nchi zingine kwa maslahi na manufaa ya taifa hili.
-
Watalii wa kigeni waongezeka sana nchini Iran
Jul 15, 2016 04:12Zaidi ya watalii 50 elfu wa kigeni wametembelea mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran katika kipindi cha miezi minne iliyopita.
-
Sauti ya ukombozi wa Quds kusikika leo katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Jul 01, 2016 02:44Taifa la Iran na mataifa mengine ya Waislamu leo Ijumaa sambamba na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds, yatapaza tena sauti ya kupigania ukombozi wa Quds tukufu na kutangaza hasira zao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya siku hii.