• Watalii wa kigeni waongezeka sana nchini Iran

    Watalii wa kigeni waongezeka sana nchini Iran

    Jul 14, 2016 23:42

    Zaidi ya watalii 50 elfu wa kigeni wametembelea mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran katika kipindi cha miezi minne iliyopita.

  • Sauti ya ukombozi wa Quds kusikika leo katika Siku ya Kimataifa ya Quds

    Sauti ya ukombozi wa Quds kusikika leo katika Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 30, 2016 22:14

    Taifa la Iran na mataifa mengine ya Waislamu leo Ijumaa sambamba na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds, yatapaza tena sauti ya kupigania ukombozi wa Quds tukufu na kutangaza hasira zao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya siku hii.

  • Dafina za Imam Khomeini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Dafina za Imam Khomeini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Jun 04, 2016 00:04

    Leo Ijumaa, taifa zima la Iran na wapenzi na wafuasi wa njia na fikra za Imam Khomeini MA wameshiriki kwa namna moja au nyinginekatika kumbukumbu za mwaka wa 27 wa kuomboleza siku alipofariki duniani mwanachuoni na shakhsia huyo mkubwa.

  • Kiongozi: Mazungumzo ya nyuklia yamethibitisha Marekani haina mwamana

    Kiongozi: Mazungumzo ya nyuklia yamethibitisha Marekani haina mwamana

    Jun 03, 2016 10:18

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tunapaswa kutumia uzoefu wa mazungumzo ya nyuklia yaliyothibitisha kuwa Marekani haina mwamana na hivyo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ichukue mkondo wake wa ustawi.

  • Chuo cha kidini Iran ni cha kimapinduzi

    Chuo cha kidini Iran ni cha kimapinduzi

    Mar 15, 2016 11:19

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja ya kuwepo fikra, tadbiri na mpango wa kina."