-
Wabunge wa Ufaransa nao wapinga mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel
Sep 21, 2020 13:40Wabunge 61 wa Bunge la Ufaransa wamekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya Imaratina Bahrain na utawala haramu wa Israel.
-
Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 20, 2020 02:38Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limefichua kuwa, kumetokea hitilafu kubwa na kali baina ya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia na mrithi wake, Muhammad bin Salman baada ya mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.
-
Tofauti baina ya Mapatano ya Abraham, Camp David na Wadi Araba
Sep 18, 2020 08:10Nchi za Kiarabu zimesaini mapatano mara tatu na utawala wa Kizayuni wa Israel na ya hivi karibuni zaidi kati ya mapatano hayo ni yale yliyopewa jina la Mapatano ya Abraham (Abraham Accords) yaliyosainiwa tarehe 15 mwezi huu wa Septemba katika Ikulu ya Rais wa Marekani, White House. Mapatano hayo matatu yana tofauti kadhaa na muhimu.
-
Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka
Sep 17, 2020 05:57Nchi za Imarati na Bahran juzi Septemba 15 zilisaini mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Sherehe ya kutiwa saini mapatano hayo ilifanyika ikulu ya White House mjini Washington chini ya usimamizi wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka
Sep 15, 2020 15:12Imarati na Bahrain leo Jumanne zinatarajiwa kutia saini mapatano ya amani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ikulu ya Rais wa Marekani, White House, mjini Washington. Hatua hii imeyakasirisha sana mataifa ya Waislamu na Waarabu ambayo yameitaja kuwa ni usaliti dhidi ya Uislamu, Palestina na Quds tukufu.
-
Bunge la Ulaya lataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Imarati
Sep 15, 2020 12:00Bunge la Ulaya limetoa wito wa kupasishwa muswada wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu
Sep 15, 2020 07:28Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudia na Imarati zina nafasi haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Sep 15, 2020 02:35Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu hatari ya Saudi Arabia na Imarati na nafasi haribifu ya nchi hizo katika eneo la magharibi mwa Asia.
-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 06:33Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel
Sep 14, 2020 02:36Baada ya Imarati na Bahrain kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu unaoikalia Quds tukufu kwa mabavu, suali linaloulizwa hivi sasa ni, hatua gani Palestina inaweza kuchukua kwa ajili ya kukabiliana na mwenendo huo?