-
Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake
Nov 14, 2022 02:23Ripoti ya siri iliyotolewa na maafisa wa Idara ya Intelijensia ya Marekani imedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu umefanya jitihada kubwa za kujaribu kutatiza na kuvuruga mfumo wa kisiasa wa Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati
Sep 25, 2022 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.
-
Misri mwenyeji wa luteka inayojumuisha US, Saudia, Ugiriki na Imarati
Aug 22, 2022 11:04Vikosi maalumu vya majeshi ya Misri, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Ugiriki na Cyprus vimezindua mazoezi ya pamoja ya kijeshi nchini Misri.
-
Mapigano kati ya mamluki wa Saudia na UAE kusini mwa Yemen; kuendelea mzozo wa kijiografia na kisiasa
Aug 13, 2022 01:30Wanamgambo wenye mfungamano na Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia wamepigana tena katika maeneo ya kusini mwa Yemen, hali ambayo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa.
-
Athari za mashambulio ya Yemen zinaendelea, Wakuwait wakatazwa kutumia drone Imarati
Aug 12, 2022 02:24Athari za mashambulio ya kulipiza kisasi na ya kujihami ya wananchi wa Yemen dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) bado zingalipo na sasa serikali ya Kuwait imewataka wananchi wake wasitumie ndege yoyote isiyo na rubani wanapokuwa nchini Imarati, ili wasije wakajiingiza kwenye matatizo.
-
Idadi kubwa ya watu wa Saudia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel
Jul 20, 2022 03:27Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya watu wa Saudi Arabia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano baina ya nchi hizo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati
Jun 25, 2022 11:51Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Mamluki wa Imarati wanabaka wasichana wa Yemen Hudaydah
Jun 20, 2022 04:20Kitendo cha mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu kuwabaka wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, magharibi mwa Yemen kimeibua ghadhabu na kulalamikiwa vikali katika pembe mbalimbali za nchi hiyo maskini ya Kiarabu.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ndiyo sababu ya ugaidi na uharibifu katika eneo hili zima
Jun 19, 2022 06:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mazungumzo yake na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba kuwepo utawala pandikizi wa Kizayuni katika eneo hili ndiyo sababu ya ukosefu wa utulivu na amani kama ambavyo ndio ulioleta vitendo vya kigaidi na uharibifu katika eneo hili zima.
-
Safari ya pili ya Bennet nchini Imarati katika kipindi cha miezi sita
Jun 10, 2022 10:17Naftali Bennet, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Alhamisi Juni 10 aliwasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) hii ikiwa ni safari yake ya pili nchini humo katika kipndi cha miezi sita.