Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Baada ya miaka 10, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati aitembelea Syria

    Baada ya miaka 10, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati aitembelea Syria

    Nov 09, 2021 23:09

    Vyombo vya habari vya Kiarabu vimetangaza kuwa baada ya kupita kipindi cha miaka 10, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati (UAE) amefanya safari ya kuitembelea Syria.

  • Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Oct 01, 2021 09:59

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.

  • Gazeti lafichua waraka wa siri wa njama ya Imarati ya kuibana na kuidhoofisha HAMAS

    Gazeti lafichua waraka wa siri wa njama ya Imarati ya kuibana na kuidhoofisha HAMAS

    Sep 29, 2021 09:31

    Gazeti la al Akhbar linalochapishwa nchini Lebanon limefichua waraka wa siri unaohusu mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wa kuanzisha muungano dhidi ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Nukta kadhaa za kuzingatia kuhusu madai ya Imarati ya kupambana na ugaidi

    Nukta kadhaa za kuzingatia kuhusu madai ya Imarati ya kupambana na ugaidi

    Sep 15, 2021 05:48

    Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, umeongeza majina ya watu 38 na mashirika 15 katika orodha yake ya watu wanaodaiwa kuunga mkono ugaidi ambapo majina ya Wairani kadhaa yanaonekana katika orodha hiyo.

  • Malengo ya Imarati ya kuvikalia kwa mabavu visiwa vya Yemen

    Malengo ya Imarati ya kuvikalia kwa mabavu visiwa vya Yemen

    Aug 26, 2021 22:05

    Ahmed al-Rahwi mwakilishi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen Jumanne wiki hii kwa mara nyingine tena aliutahadharisha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba, nchi hiyo itapewa somo na funzo iwapo haitaondoka katika kisiwa cha Mayyun.

  • Yemen yakosoa Imarati na Israel kukalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun

    Yemen yakosoa Imarati na Israel kukalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun

    Aug 25, 2021 08:26

    Afisa wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema lengo la Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun kilichoko katika Lango Bahari la Mandab kusini mwa Bahari Nyekundu ni kukidhibiti kutokana na nafasi yake muhimu kijiografia.

  • Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel

    Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel

    Aug 20, 2021 21:56

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Israel vimeripoti kwamba Imarati imeamua kutumia ndege zisizo na rubani za utawala huo katika kusimamia na kulinda usalama wa taasisi na miundomsingi yake.

  • Rais wa Afghanistan aliyeikimbia nchi yuko Imarati; adaiwa kubeba dola milioni 169

    Rais wa Afghanistan aliyeikimbia nchi yuko Imarati; adaiwa kubeba dola milioni 169

    Aug 18, 2021 23:13

    Rais aliyetoroka nchi yake ya Afghanistan Ashraf Ghani yupo katika nchi Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Hilo limethibitishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni Imarati .

  • Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Jul 18, 2021 03:49

    Tovuti ya Marekani ya Foreign Policy imechapisha makala ya wataalamu wawili katika mashirika ya haki za binadamu wakiitaka Imarati (UAE) ishirikiane na serikali ya Afrika Kusini na kuwakabidhi washukiwa wa tuhuma za ufisadi na kuhujumu uchumi.

  • Harakati za ukombozi Palestina zailaani Imarati kwa kufungua ubalozi Tel Aviv

    Harakati za ukombozi Palestina zailaani Imarati kwa kufungua ubalozi Tel Aviv

    Jul 15, 2021 06:56

    Harakati za ukombozi wa Palestina zimeilaani nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kufungua ubalozi huko Tel Aviv, wiki chache tu baada ya Israeli kuuwa zaidi ya Wapalestina 255 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS