-
Waliofariki dunia kwa mafuriko na maporomoko ya ardhi India na Nepal wapindukia watu 100
Oct 20, 2021 09:41Zaidi ya watu 100 wamefariki dunia baada ya siku kadhaa za mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yaliyoharibu barabara na nyumba nchini India na Nepal.
-
Pakistan yataka kuwajibishwa India kwa jinai dhidi ya wakazi wa Kashmir
Aug 05, 2021 21:51Pakistan imeitaka jamii ya kimataifa kuiwajibisha na kuibebesha dhima New Delhi, kwa kukanyaga haki za binadamu katika eneo linalodhibitiwa na India huko Jammu na Kashmir.
-
WHO yatahadharisha kuhusu aina mpya ya virusi vya corona nchini India
Jun 02, 2021 08:17Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu hatari ya aina mpya tatu za virusi vya corona viliyoibuka nchini India na kutangaza kuwa, mojawapo ya aina hizo tatu ndiyo inayotia wasiwasi zaidi.
-
Maiti za wagonjwa wa corona zatoswa kwenye Mto Ganga nchini India
May 11, 2021 08:40Baadhi ya vyombo vya habari vya India vimeripoti kuwa viwiliwili vya watu waliofariki kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini humo vimeonekana vikielea kwenye Mto mkubwa wa Ganga wa nchi hiyo.
-
Misikiti India yageuzwa kuwa vituo vya wagonjwa wa Covid-19
May 10, 2021 22:20Aghalabu ya misikiti nchini India imegeuzwa na kuwa vituo vya kuwapokea wagonjwa wa Covid-19, huku mfumo wa afya wa nchi hiyo ukiendelea kulemewa kupita kiasi, vitanda kufurika mahospitalini, sambamba na kushuhudia uhaba mkubwa wa dawa na hewa ya oksijeni katika wimbi la pili la Corona nchini humo.
-
Moto waua 18 katika hospitali ya wagonjwa wa Corona India
May 01, 2021 08:19Kwa akali watu 18 wamepoteza maisha katika ajali ya moto iliyotokea katika hospitali moja ya wagonjwa wa Corona nchini India, huku nchi hiyo ya Asia leo Jumamosi ikiweka rekodi mpya ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Hali yazidi kuwa tete India, vifo vya Corona vyapindukia laki 2
Apr 28, 2021 21:53India inaendelea kusumbuliwa na wimbi kubwa la maambukizi ya virusi vya Corona, huku idadi ya watu walioaga dunia kwa maradhi ya Covid-19 nchini humo ikipindukia laki mbili.
-
WHO: Hali ya corona nchini India inasikitisha
Apr 27, 2021 01:16Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) amezungumzia mgogoro wa maambukizi ya virusi vya corona nchini India na kusema kuwa, hali ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 nchini humo inaumiza sana.
-
Kwa muda wa siku tatu, watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa corona nchini India
Apr 26, 2021 03:08Watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa virusi vya corona katika kipindi cha siku tatu nchini India.
-
Iran yatangaza iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la COVID-19
Apr 25, 2021 22:00Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la ugonjwa wa corona au COVID-19.