-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 09:00Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Kwa mara ya kwanza India yavunja rekodi kwa kusajili kesi 200,000 za maambukizi ya corona kwa siku
Apr 15, 2021 08:28India imetangaza kuwa, watu 200,739 wameambukizwa virusi vya corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita, huku hospitali nyingi za nchi hiyo zinazotibu wagonjwa wa maradhi hayo zikikabiliwa na uhaba mkubwa wa vitanda na mitungi ya oksijini.
-
Mahakama Kuu ya India yatengua sheria ya marufuku ya kubadili dini
Apr 13, 2021 22:05Mahakama ya Juu ya India imetengua sheria inayowapiga marufuku raia wa nchi hiyo kubadili dini kutoka kwenye imanii ya Kihindu na kuingia kwenye Uislamu au ukristo. Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo imesema kuwa, sheria hiyo inapingana na katiba ya nchi.
-
India yaendelea kuongoza kwa maambukizi mengi ya corona kwa siku duniani
Apr 08, 2021 22:10India imeendelea kwa muda wa siku kadhaa mtawalia kuwa nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa virusi vya corona kwa siku duniani.
-
Kwa mara ya kwanza maambukizi ya corona nchini India yapindukia watu laki moja kwa siku
Apr 05, 2021 02:20India imeripoti ongezeko kubwa la maambukizo ya virusi vya corona na kuwa nchi ya pili duniani baada ya Marekani kusajili kesi mpya zaidi ya laki moja za watu walioambukizwa virusi hivyo katika muda wa siku moja, huku hospitali katika jimbo lililoathiriwa vibaya zaidi la Maharashtra zikizidiwa na idadi ya wagonjwa.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 11, 2021 23:12Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.
-
Iran yazipongeza Pakistan na India kwa kulinda usimamishaji vita
Mar 01, 2021 03:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran inazipongeza Pakistan na India kwa tamko lao la pamoja la kuyalinda makubaliano ya kusimamisha vita na kusema kuwa hiyo ni hatua nzuri ya kuelekea kwenye amani na utulivu wa kudunu katika eneo la kusini mwa Asia.
-
Mapatano ya India na Pakistan juu ya kusitisha vita katika eneo la Kashmir
Feb 27, 2021 23:48Kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miongo miwili, India na Pakistan zimeafikiana kusitisha vita katika eneo linalogombaniwa la Kashmir.
-
Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi
Feb 16, 2021 22:56Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la mazoezi mseto ya usalama wa baharini katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi ni kufikia usalama jumla kieneo. Aidha ameongeza kuwa, Jeshi la Majini la India sasa litajiunga na majeshi ya majini ya Iran na Russia katika mazoezi hayo.
-
Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh
Jan 12, 2021 23:30Waziri Mkuu wa Pakistan amedai kuwa, India imekuwa ikivuruga amani na usalama wa Pakistan kutokana na hatua zake za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh.