-
Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano
Mar 06, 2016 07:08Utawala haramu wa Israel umeua watoto 41 Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Hamas: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa nguvu Intifadha ya Palestina
Feb 11, 2016 07:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 nchini Iran yameishajiisha na kuipa nguvu Intifadha na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel ambao unazikalia ardhi za Wapalestina kwa mabavu.
-
Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina
Feb 09, 2016 14:54Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.