-
Amir-Abdollahian: Iran inaendelea na juhudi zake za kupandishwa kizimbani utawala wa Kizayuni
Feb 11, 2024 04:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Kiislamu na eneo zitaendelea na juhudi zake za kuufungulia mashitaka utawala wa Kizayuni kwa jinai zake katika Ukanda wa Gaza.
-
Shirikisho la Soka la Iran laitaka FIFA kuipiga marufuku Israel katika michezo
Feb 11, 2024 00:50Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kusitisha shughuli zote za soka za utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na utawala huo kutenda jinai huko Gaza.
-
Kukiri UN juu ya nafasi chanya ya Iran katika matukio ya Asia Magharibi
Feb 11, 2024 00:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea hali ya mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema Iran ina nafasi chanya na yenye taathira katika matukio ya eneo hilo na katika kurejesha amani na utulivu.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama
Feb 10, 2024 07:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.
-
Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia
Feb 10, 2024 07:10Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.
-
UN: Iran ina nafasi chanya katika matukio ya Asia Magharibi
Feb 10, 2024 03:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya mvutano inayoendelea katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema: Iran ina nafasi chanya katika matukio ya eneo hilo na inafanya jitihada za kuimarisha utulivu na usalama.
-
Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel
Feb 09, 2024 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya vikali Marekani dhidi ya kuendelea kuiunga mkono Israel na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Muendelezo wa juhudi za Iran katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 09, 2024 04:44Mkuu wa Polisi wa Iran, ameeleza kuridhishwa kwake na juhudi za kitengo cha kupambana na dawa za kulevya cha kikosi hicho, na kusema jeshi hilo liangamiza watu 230 waliokuwa wahusika wakuu katika biashara haramu ya dawa za kulevya na wakati huo huo kunasa tani 500 za afyuni katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Sera ya Iran ni kutuliza hali ya mambo katika eneo
Feb 08, 2024 08:43Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: sera ya Iran ni kutuliza hali ya mambo katika eneo na kupunguza mivutano na mapigano.
-
Rais Raisi: Ni haki ya taifa la Iran kunufaikia na matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia
Feb 07, 2024 23:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo hapa Tehran na kutilia mkazo wajibu wa kila taifa kufaidika na nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani na kwamba ni haki ya taifa la Iran pia kunufaika na nishati hiyo.