Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • "Mauaji ya kimbara Gaza yamefichua dhati na unafiki wa Wamagharibi"

    Mar 23, 2024 04:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari yanayoshuhudiwa katika Ukanda wa Gaza yameweka bayana kuwa nchi za Magharibi zinatumia suala la 'haki za binadamu' kama wenzo wa kisiasa tu.

  • Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia

    Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia

    Mar 23, 2024 04:15

    Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu inapasa kuwa na vituo kati ya 15 na 20 vya nyuklia ili kujidhaminia mahitaji yake ya nishati.

  • Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya watu nchini Russia

    Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya watu nchini Russia

    Mar 22, 2024 23:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua na kujeruhi makumi ya watu katika mji mkuu wa Russia, Moscow.

  • Iran yalaani kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel huko Gaza

    Iran yalaani kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel huko Gaza

    Mar 21, 2024 07:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uungaji mkono kwa jinai na mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Njia ya kukomesha dhulma kubwa ya kuwepo utawala wa Kizayuni itaendelea

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Njia ya kukomesha dhulma kubwa ya kuwepo utawala wa Kizayuni itaendelea

    Mar 20, 2024 23:30

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Njia ya kukomesha dhulma kubwa ya kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel itaendelea.

  • Iran yaonya kuhusu hatua za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wanaokwenda kusali Msikiti wa Al-Aqsa

    Iran yaonya kuhusu hatua za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wanaokwenda kusali Msikiti wa Al-Aqsa

    Mar 20, 2024 08:41

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu vitendo vyovyote vya kichokozi vinavyoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Quds Tukufu na Msikiti wa Al-Aqsa dhidi ya Waislamu Wapalestina wanaokwenda kusali katika msikiti huo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Iran: Shutuma za USA na UK kuhusu Bahari Nyekundu na Yemen hazina msingi wowote

    Iran: Shutuma za USA na UK kuhusu Bahari Nyekundu na Yemen hazina msingi wowote

    Mar 19, 2024 04:27

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani na Uingereza dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu hali ya Bahari Nyekundu na Yemen.

  • Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger

    Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger

    Mar 18, 2024 10:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi ina hamu ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na nchi za Afrika ikiwemo Niger.

  • Mashirika 16 ya Kiirani katika maonyesho ya afya Kenya

    Mashirika 16 ya Kiirani katika maonyesho ya afya Kenya

    Mar 17, 2024 07:40

    Mashirika 16 ya ubunifu wa utaalamu ya Iran yanashiriki katika duru ya 24 la Maonyesho ya Sekta ya Afya nchini Kenya, yaliyopangwa kufanyika Nairobi kuanzia tarehe 17 hadi 19 mwezi Aprili mwaka huu.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kuisaidia Syria kuimarisha nguvu zake za kiulinzi na za kuzuia mashambulio

    Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kuisaidia Syria kuimarisha nguvu zake za kiulinzi na za kuzuia mashambulio

    Mar 17, 2024 02:28

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kutumia uwezo wake wote kuisaidia Syria katika kuimarisha ulinzi na uwezo wake wa kuzuia hujuma za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS