Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Israel haina uwezo wa kuendeleza vita Gaza hata kwa siku 1 bila ya uungaji mkono wa Marekani

    Iran: Israel haina uwezo wa kuendeleza vita Gaza hata kwa siku 1 bila ya uungaji mkono wa Marekani

    Feb 12, 2024 07:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesisitiza kuwa, iwapo Marekani itaacha kuuunga mkono utawala wa Kizayuni, utawala huo hautoweza kuendeleza vita dhidi ya Gaza hata kwa siku moja.

  • Rekodi ya Iran katika ustawi wa watu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Rekodi ya Iran katika ustawi wa watu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 11, 2024 07:35

    Maendeleo ya pande zote ya Iran tangu baada tu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ndilo jambo ambalo lilitiliwa mkazo mno na Imam Khomeini, MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na yanaendelea kupewa umuhimu mkubwapia hivi sasa na Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Amir-Abdollahian: Iran inaendelea na juhudi zake za kupandishwa kizimbani utawala wa Kizayuni

    Amir-Abdollahian: Iran inaendelea na juhudi zake za kupandishwa kizimbani utawala wa Kizayuni

    Feb 11, 2024 04:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Kiislamu na eneo zitaendelea na juhudi zake za kuufungulia mashitaka utawala wa Kizayuni kwa jinai zake katika Ukanda wa Gaza.

  • Shirikisho la Soka la Iran laitaka FIFA kuipiga marufuku Israel katika michezo

    Shirikisho la Soka la Iran laitaka FIFA kuipiga marufuku Israel katika michezo

    Feb 11, 2024 00:50

    Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kusitisha shughuli zote za soka za utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na utawala huo kutenda jinai huko Gaza.

  • Kukiri UN juu ya nafasi chanya ya Iran katika matukio ya Asia Magharibi

    Kukiri UN juu ya nafasi chanya ya Iran katika matukio ya Asia Magharibi

    Feb 11, 2024 00:31

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea hali ya mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema Iran ina nafasi chanya na yenye taathira katika matukio ya eneo hilo na katika kurejesha amani na utulivu.

  • Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama

    Feb 10, 2024 07:11

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.

  • Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia

    Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia

    Feb 10, 2024 07:10

    Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.

  • UN: Iran ina nafasi chanya katika matukio ya Asia Magharibi

    UN: Iran ina nafasi chanya katika matukio ya Asia Magharibi

    Feb 10, 2024 03:53

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya mvutano inayoendelea katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema: Iran ina nafasi chanya katika matukio ya eneo hilo na inafanya jitihada za kuimarisha utulivu na usalama.

  • Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel

    Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel

    Feb 09, 2024 23:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya vikali Marekani dhidi ya kuendelea kuiunga mkono Israel na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.

  • Muendelezo wa juhudi za Iran katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Muendelezo wa juhudi za Iran katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Feb 09, 2024 04:44

    Mkuu wa Polisi wa Iran, ameeleza kuridhishwa kwake na juhudi za kitengo cha kupambana na dawa za kulevya cha kikosi hicho, na kusema jeshi hilo liangamiza watu 230 waliokuwa wahusika wakuu katika biashara haramu ya dawa za kulevya na wakati huo huo kunasa tani 500 za afyuni katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS