-
Rais Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani
Sep 16, 2022 06:59Rais Ebrahim Raisi amesema, mashirikiano ya kistratijia ya Iran na China ni ishara ya irada ziliyonayo nchi mbili ya kustawisha uhusiano wao katika pande zote na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani.
-
Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa
Sep 16, 2022 03:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia.
-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Kanani: Iran inaunga mkono kuendelezwa mchakato wa kusitisha mapigano huko Yemen
Sep 12, 2022 22:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran inaunga mkono kuendelezwa na kuimarishwa mchakato wa kusitisha mapigano nchini Yemen.
-
Salami: Maamuzi ya Iran yanaathiri uchaguzi wa Marekani
Sep 06, 2022 21:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maamuzi ya kisiasa ya Jamhuri ya Kiislamu yana taathira na nafasi kubwa katika chaguzi za Marekani.
-
Marandi: Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo ya Vienna
Sep 06, 2022 03:27Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Iran: Tuko tayari kuitatulia Ulaya matatizo yake ya nishati
Sep 05, 2022 06:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imehifadhi hisa yake katika soko la nishati licha ya vikwazo, lakini inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupatia suluhu mgogoro wa niashati unaolikabili bara Ulaya.
-
Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran
Sep 04, 2022 06:33Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi.
-
Amir-Abdollahian: Sera ya Mambo ya Nje ya Iran imejengeka katika msingi wa uhuru, amani
Sep 02, 2022 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mazungumzo na utendaji wa Jamhuri ya Kiislamu katika siasa za nje umejengeka katika msingi wa uhuru, kujitegemea, amani na heshima.
-
Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu
Sep 02, 2022 07:39Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, wakati umefika kwa utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kuchukua maamuzi magumu juu ya kuhuishwa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran.