-
Iran yakosoa mkutano wa NPT kwa kutoshinikiza Israel ijiunge na mkataba huo
Aug 25, 2022 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali Mkutano wa Kumi wa Kuangalia Upya Maazimio ya Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kuziia Uzalishaji na Usambazi za Silaha za Nyuklia NPT unaofanyika huko New York, kwa kukataa kutoa mwito kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kujiunga na mkataba huo wa kimataifa.
-
Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Aug 25, 2022 03:36Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya.
-
Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani
Aug 25, 2022 03:35Mazoezi ya Pamoja ya Ndege Zisizo na Rubani (droni) 1401 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameendelea kwa siku ya pili leo ambapo droni za kivita zimefanikiwa kutekeleza oparesheni zao kwa mafanikio.
-
Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Aug 25, 2022 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
-
Iran kuunda ndege ya abiria ya viti 50 karibuni
Aug 24, 2022 23:11Mkuu wa Shirika la Uchukuzi wa Anga la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeandaa mikakati ya kuzalisha ndege yake ya abiria karibuni hivi.
-
Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT
Aug 23, 2022 23:50Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uharibu silaha zake za nyuklia na ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni
Aug 23, 2022 23:48Jeshi la Iran leo Jumatano linatazamiwa kuzindua luteka ya kijeshi itakayohusisha ndege zisizo na rubani (droni).
-
Jenerali Hajizadeh: Leo tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani
Aug 23, 2022 03:31Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema: "huko nyuma, sisi hatukuwa na wowote kati ya uwezo tulionao leo hii, na hivi sasa tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani.
-
Rais Ebarahim Raisi: Iran ni tumaini la wanyonge na majuto kwa mabeberu
Aug 22, 2022 20:55Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, licha ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa chini ya mashinikizo makubwa ya kila upande kwa makumi ya miaka sasa, lakini vijana wa nchi hii wakiwemo wa sekta ya ulinzi wamepiga hatua kubwa ya kujivunia.
-
Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya
Aug 22, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea majibu kutoka kwa Marekani juu ya mapendekezo yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.