-
Salami: Hujuma dhidi ya nafsi na akili, stratejia hatari ya adui
Aug 21, 2022 23:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafasi na kisaikolojia.
-
Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake
Aug 21, 2022 06:47Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikao au mazungumzo yoyote yale ambayo yatalifanya taifa hili lilegeze kamba na kufumbia macho haki zake.
-
Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018
Aug 20, 2022 22:15Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018.
-
Iran yatoa pongezi kufuatia kufanyika uchaguzi wenye mafanikio Kenya
Aug 19, 2022 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza wananchi na serikali ya Kenya kwa kufanyika kwa mafanakio uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Abu Turabi Fard: Mateka wa vita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo ya Ashura
Aug 19, 2022 08:35Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema, kwa muda wote walipokuwa wakishikiliwa mateka, mateka wa kivita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo na mafundisho ya Ashura.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi iliyoua makumi msikitini Kabul
Aug 18, 2022 23:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Qalibaf: Marekani ingali inafuatilia sera za ubeberu dhidi ya Iran
Aug 17, 2022 07:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani ya leo, ndiyo ile ile ya huko nyuma ya wakati wa mapinduzi ya serikali Iran ya mwaka 1953 (Mapinduzi ya Mordad 28).
-
Jeshi la Majini la Iran kufanya operesheni maalumu mwaka huu
Aug 16, 2022 03:20Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema vikosi vya baharini vya nchi hii vimejiandaa kikamilifu kufanya operesheni katika bahari yoyote ile duniani, na kwamba vinajiandaa kufanya operesheni maalumu kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani unaoisha Julai 22 mwaka 2023.
-
Ulyanov: Vikwazo dhidi ya Iran vitaondolewa karibuni
Aug 16, 2022 03:04Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Taasisi za Kimataifa zenye makao yao mjini Vienna, Austria amesema yumkini vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitaondolewa karibuni hivi.
-
Amir-Abdollahian: Leo tunakabidihi mapendekezo yetu ya mwisho katika JCPOA
Aug 15, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, siku zijazo ni siku muhimu kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba Tehran inasubiri uamuzi kutoka upande wa Marekani kuhusu maudhui ya tatu.