-
Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu
Jun 04, 2022 04:35Fikra za Imam Khomeini MA za kupambana na ubeberu, mbali na kupelekea kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, zimepelekea pia kupatikana mwamko wa Kiislamu katika eneo hili zima na duniani kwa ujumla.
-
Baqeri: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran
Jun 03, 2022 23:38Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran; na wakati wowote ule watakapoota ndoto hiyo hawataweza katu kuamka tena.
-
Tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran: Saudia haitaki uhusiano mwema wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 03, 2022 02:50Mawaziri wa Nchi wa Masuala ya Kigeni wa nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi mnamo Juni Mosi kwa mara nyingine walitoa tuhuma nne dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki
Jun 01, 2022 05:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
-
Kituo cha Kistratijia cha 313; Nembo ya Uwezo wa Kijeshi wa Iran
May 30, 2022 22:00Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri siku ya Jumamosi alikagua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi cha ndege zisizo na rubani cha Jeshi la Jamhuri Kiislamu ya Iran. Akiwa hapo alijioenea uwezo mkubwa wa ndege za kivita zisizo na rubani za jeshi hilo zilizoko katika kituo hicho cha siri.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zatiliana saini hati 17 za ushirikiano
May 30, 2022 05:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zimetiliana saini hati 17 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 28, 2022 23:25Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
FAO: Iran ni moja ya nchi zinazozalisha chakula kwa wingi duniani
May 28, 2022 06:11Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Iran ina nafasi muhimu katika kilimo cha chakula duniani ambapo inashikilia nafasi ya tatu hadi ya tisa katika uzalishaji wa baadhi ya mazao.
-
Shamkhani: Dunia iungane kupambana na ubeberu wa Marekani kwa pande zote
May 27, 2022 02:29Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, dunia inapaswa kuungana katika kupambana na siasa za kibeberu za Marekani za kujikumbizia kila kitu upande wake.
-
Iran yakosoa mitazamo ya upande mmoja na taathira zake hasi kwa utulivu wa eneo na usalama wa kimataifa
May 26, 2022 21:53Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Italia ilifanyika siku ya Jumanne mjini Tehran, chini ya uenyekiti wa Ali Bagheri, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa na Ettore Plato, Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia.